Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

Classment πŸ€”πŸ€”πŸ€” hapa unamaanisha nini? Hii ni elimu ya CCM miaka yote hii.


 
Hakuna mwanaume konki ambaye hawazii katikati weweee!. Iwe kwa mkeo au mchepuko, katikati ndo burudani isiyo na mshindani duniani
Sawa ila kwa umri wake anatakiwa ajiheshimu,tena ni Rais mstaafu mtarajiwa.
 
Anawaza ngono ngono mda wote huyu mgombea anapwaya kabisa hana sifa ya kuendesha gari za kisasa
 
Kwa hiyo mtu akitandikwa risasi ndio tumipigie kura [emoji3][emoji3]

Ingekuwa sifa za kuwa Rais ni kutandikiwa risasi
Basi majambazi yangeshashika Urais Tanzania

Msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Kwa kupigwa kwake taifa linakombolewa dhidi ya ukoloni
 
Wambulu wazuri sana afu sio wachoyo nimetembeza Sana rungu hapo karatu na mbulu hakika hawa watu siwasahau Niwakarimu
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania

Kura zote 98% kwa Rais Magufuli

Arusha hatutaki Chadema imetunyanyasa sana
yaani we uko kama umelogwa, chochote akisemacho Jiwe LAZIMA uunge mkono no mata what...utumwa mbaya sana!!!.
 
Safi sana mzee JPM hizi ndizo fursa ambazo watanzania wanazipenda. Unalala karatu watanzania wananufaika.
 
Mh! haya, hii inafikirisha sana..
Kwanini mzee meko leo kaamua kupiga kambi na kulala hapo karatu??
Kuna mambo mengi yani leo hapatalalika ukizingatia kuwa jimbo la karatu tangu mfumo wa vyama vingi umeanza limekuwa likishikiliwa na upinzani kwa miaka yote tangu mwaka 1995..! Hapo lazima usiku huu ni mikakati, maagizo, na hujuma zote zitasukwa ili kuhakikisha kuwa ccm wanalirudisha hili jimbo kwa vyovyote vile...!
 
Karatu kuna wanawake weupe tambua hilo
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania

Kura zote 98% kwa Rais Magufuli

Arusha hatutaki Chadema imetunyanyasa sana
j pm alituambia muda fulani ukifika tutakuwa tumeondoka mjini kwa kutosomesha namba ss na yy zamu yake baada ya Oct 28 atakuwa atakuwa amerudi kijijini kwao
 
Labda ufanye maridhiano na mabeberu aliyochukua fedha zao kwa ahadi kuwa atapata uongozi. Atafanya maridhiano nao wamruhusu kurudi kwao
We jidanganye, mabeberu niambie hapo hulipo ni kitu gani humevaa hakitoki kwa mabeberu
 
Habari za Asubuhi huko Karatu,hebu tupeni mrehesho...Nani alufanyia kazi maekekezo ya Mheshimiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…