Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Classment 🤔🤔🤔 hapa unamaanisha nini? Hii ni elimu ya CCM miaka yote hii.
Hiyo ni tasisi ya Urais ya JMT .Naona mzee anajisahahu sana mara zote anajikuta anahisi yupo kijijini kwao chato akipiga stori na washkaji na maclassment wake wa Darasa saba enzi hizo ambao hadi leo wapo pale chato wakifanya shughuli za kiuchumi na kijamii.