Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli Mgombea wa CCM, Polepole anakudanganya

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Anapokuwa kwenye majukwaa anakudanganya kuwa wananchi wamekuja kusherehekea utekelezaji wa ilani ya Ccm. Ukweli ni kuwa nusu ya hivyo viwawanja ni watoto wadogo. Na wanakuja kuangalia wasanii ambao umetumia gharama nyingi kuwakodi na kuwasafirisha.

Gharama ambazo kama ungetumia wasanii wa mikoa unayofanya kampeni zisingekuwa kubwa kama hivyo.

Pili huyu mwenezi wa sasa wa CCM hakuambii ukweli kuwa wanachi wanamagumu na mioyo yao imejaa huzuni. Mara baada ya midundo ya wanamziki kama Harmonize, Diamond au Snura wakimaliza kutumbuiza, hawa wanachi hurudi makwao na huko hukuta hali mbaya.
Maana hata hapo uwanjani huwa hamuwapatii chakula.

Hao wananchi kama wangepata nafasi ya kukujoji mh rais wangekuuuliza, mbona unanunua midege wakati hata maeneo mengi hayana maji? Kwa hiyo ili Polepole asikudanganye uwe unaruhusu swali hata moja toka kwa wananchi ndio utajua midege na miradi mingine mikubwa haikuwa na tija kwa sasa wakati wananchi wanashida.

Mwananchi kama huyu anakuuliza ndege 11 za nini wakati hata maji haujasambaza sehemu nyingi tu Tanzania? Toa nafasi ili uulizwe maswali kwenye mikutano yako.

 
Mk
Maccm hayana akili kabida..... Yanamdanganga hadi mwenyekiti wao
Mkuu wa mkoa wa Geita, ndiye kinara namba moja wa kumdanganya JPM. Tunaomba mkuu wa mkoa amlete mh JPM huku vijiji vya Nyamikoma,Kamwanga na lwenge ajionee wananchi maisha wanayoishi Kama wakimbizi. Pia kumekuwa ni vijiji wanskoishi raia wa burundi kibao. Hakuna ya serikali Nyamikoma, Kamwanga na lwenge
 
Magufuli ameanza kuelewa somo baada ya zomea zomea ya Kagera na mapokezi duni ya Kigoma. Ndiyo maana kaanza kutumia chopa.

Halli ni mbaya Sana kwa Magu. Kama ingekuwa ngumi, basi Lisu ni Tyson na Magu ni Cheka
Mbona mapokezi ya loketo hamuyaonyeshi.
 
Magufuli ameanza kuelewa somo baada ya zomea zomea ya Kagera na mapokezi duni ya Kigoma. Ndiyo maana kaanza kutumia chopa.

Halli ni mbaya Sana kwa Magu. Kama ingekuwa ngumi, basi Lisu ni Tyson na Magu ni Cheka
Mmmh jamani hem hata kama tuna uchama tuweke pembeni.
Kigoma mapokezi yakikua duni??😲
 
Wasipomdanganya wanatumbuliwa na wanakuwa sio wazalendo
Polepole hajui siasa,sio kama Nape alivyokuwa mwenezi alikuwa anaenda kwa wananchi na anamueleza ukweli Jakaya hali ni mbaya. Huyu anadanganywa na mitandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…