Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli Mgombea wa CCM, Polepole anakudanganya

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli Mgombea wa CCM, Polepole anakudanganya

Huyo Ngwanjima atakuwa anataka kuhamisha makao makuu ya kanisa lake Dodoma kwa mgongo wa ubunge huyo anaweza kuwaacha wana kawe solemba.
 
Mk
Mkuu wa mkoa wa Geita, ndiye kinara namba moja wa kumdanganya JPM. Tunaomba mkuu wa mkoa amlete mh JPM huku vijiji vya Nyamikoma,Kamwanga na lwenge ajionee wananchi maisha wanayoishi Kama wakimbizi. Pia kumekuwa ni vijiji wanskoishi raia wa burundi kibao. Hakuna ya serikali Nyamikoma, Kamwanga na lwenge
Ngoja Tundu Lissu aendelee kuwapiga spana mpaka akili ziwakae sawa
 
Tumeyasikia ya uongo kutoka ccm miaka yote tangu Uhuru wa Bendera na bado umaskini, wizi, ubabe wa kijinga umekithiri. Sasa basi. Ccm iwe KANU.
 
Back
Top Bottom