Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli mrudishe January Makamba na Nape wajibu hoja, Polepole anakihujumu chama

CCM ni system. Sio chama cha mfukoni kama ile ya ufipa.
 
Maguli ndie Mtu anayehusika kujibu hoja za TL kwa bahati mbaya nae uwezo huo hana
 
Nikweli unaweza kubeza haya yanayosemwa hapa kiushabiki tu,lakini ukweli anachofanya Pole Pole ni hujuma kwa Rais.
Watanzania walitarajia haya:
1😛ole Pole anapokuwa kwenye press aje kufafanua mambo yote ambayo CCM inakusudia kufanya kwa miaka 5 ijayo,ukimwambia MTU eti oooh sijui flani anauraia pacha sijui nini,hayo hayajibu kiu ya watu wanaotaka ahueni ya maisha na waliokata tamaa
2:Nimesoma Sera za CCM ziko vizuri kweli,lakini zinakosa mtu wa kuzitafsiri kwa wananchi wakaelewa,muda mwingi unatumika kupiga propaganda,hayo kwa sasa watanzania ni waelewa hawataki kufikia
3:Mafanikio ya Rais magufuli kwa miaka 5 watanzania wanayajua,kinachotakiwa tu waeleze kidogo ni kaupenyo gani katako punguza ugumu wa maisha basi.Sasa Pole Pole Kwanini hafanyi hayo? Hizo ndiyo hujuma zenyewe
 
Hao uliowataja Nape na January tayari wamepitishwa bila kupingwa lengo wakasaidie wizi wa kura kama walivyofanya masaki mwaka 2015 . Usifikiri wamepitishwa bila kupingwa hivihivi na Jana na leo Jiwe kawaomba msamaha walioitwa wapumbafu ili wamsaidie kampeni , Jiwe maji shingoni. Kuanzia Iringa Mbeya utaona sura mpya .
 
Ndio basi tena !
 
Polepole bado mwanaharakati, muumini wa serikali tatu,katiba ya warioba, time will tell
 
Watu mnaoishi kwa shemeji zenu mnatabu sana,unashupaza mishipa hapa kwakua unakula ugali wa bure kwa shemeji yako.
Hii nchi kwa sasa imekua ya hovyo sana,yani watoto wetu tunasomesha kwa shida halafu ajira hazitoki mpaka kipindi cha kampeni,wastaafu wameitumikia hii nchi kwa uzalendo wa hali ya juu huu sasa ni mwezi wa kumi hakuna cha kiinua mgongo wala pesa za pensheni halafu wewe unaongea nini hapa!
Wewe kuli usiwatafutie watu ban hapa.
 
Mbona ameruka mengi sana. La mtoto wa dada kuwa Mlipaji Mkuu wa Serikali mmelisahau?
CHADEMA inadai Uhuru na Haki, iweje ndugu wa Rais, mwenye sifa asiajiriwe au asipewe tenda akishinda kwa utaratibu ulio wazi?

Vipi dada, wake, washikaji na mashemeji wa viongozi wa CHADEMA ndio Wabunge na Madiwani wa kuteuliwa? Au hilo hamlioni?
 
Polepole ni tunu ya taifa, anaweza kuingia kwenye vitabu vya historia kama mwanasiasa mahiri aliyechangia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini Tanzania, mwacheni afanye kazi yake

You are day dreaming.
 
Pole pole ni zuzu LA mwaka litakalochangia kupunguza kura za urais kwani hajui cha kuongea na anajichanganya sana kukabiliana na hoja za upinzani. Mfano. Hija ya TL ya majimbo ameongea upotoro na kumdanganya raid eti italeta mgawanyiko na utengano kitaifa, hivyo kuwa ya kibaguzi, waka huo akimshauri rais kuwa aongelee ubaguzi kwa mini hapeleki maendeleo sehemu ya wapinzani wakati alikuwa na kauli mbiu ya maendeleo hayana vyama
 

Yeye Polepole na Magufuli wake wote wana akili ndogo. Liccm linawafia mikononi mwao
 
Hilo hatafanya kwakuwa yeye anaamini kuwa hakuna mtu anayejua zaidi kuliko yeye
 

Polepole ni toto la hovyooo kabisa, pumbavu na jinga. Linakera. Ni liability kwa chama chake.
 
wote nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…