Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ni kweli anajua maana ya kunadi sera?

Akipita visasi vyake si vya nchi hii atawashughulikia kweli kweli msema kweli mpenzi wa Mungu.

Kenya walibp bifu na ligi kiwandani
 
Mbaya zaidi leo katisha watu eti wasichague upinzani watakoma. Sasa dawa yake ni sisi watanzania kuhamaaishana kutompa hata kura moja huyu jamaa ili aende kuishi kijijini kwake chato. Anatuona Watanzania kama ng’ombe wake kiasi atatuendesha atakavyo. Hafai kabisa huyu Magufuli
 
Wananchi wanapaswa kutumia nafasi yao vizuri kwenye sanduku la kupigia kura.
 
Ni wakati Sasa kila Jimbo liwe na mamlaka kamili yanayojitegemea haya ya kuchukua mapato ya Kodi toka upinzani then kuwanyima maendeleo huu Ni wizi
Kauli anazozitoa huyu jpm zingekuwa zinatolewa na wapinzani, amini nakwambia msajili wa vyama, NEC, Polisi, na wengine wenye kufanana nao wangeshanyanyuka zamani.
 
Nashangaa tunapoteza muda mwingi kufikiria upotolo wake wakati sie ndio tumeshika mpini yeye kashika makali. Kila MTU aamue tarehe 28/10 kuwahi kituoni na kuchinjilia mbali yeye kisha kumpigia Mbunge na diwani amtakaye bila kokoro.

Yaani ni kuhakikisha hata 20% ya kura akipata akatambike huko Gambushi
 
Unajua yeye bado anaota kwamba ni Rais na kwenye kampeni anajiona yupo kwenye ziara.. kumbe anaweza pisha kiti oct 28 na kuwa raia wa kawaida sana.
Inasikitisha katika nyakati kama hizi za Demokrasia komavu kukutana na hoja dhaifu au za ajabu...
 
Ccm ina kazi sana mwaka huu

1. Ilani haiuziki

2. Mgombea hauziki.. zaidi ya barabara na sgr hakuna kinacho waungamisha wananchi.
 
Ole wao wamzomee..[emoji1][emoji1]
 
Kauli za ubaguzi sana.. mbona dar ilikua chini ya chadema na flyover zimejengwa na barabara zimejengwa?

Siasa zimemshinda...
Sera za ubaguzi waziwazi, anabagua wapinzani huku Kodi zao anachukua.
Ingekuwa analeta maendeleo mbona Dodoma yote ni CCM why hawana maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…