Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Jiwe sijawai muelewa kabisa pia huwa nashangazwa na wanaomuelewa, only Tanzania jiwe anaweza kuwa Rais, kwa wenzetu huyu angekatwa ngazi ya kata.
Anafikirisha kwa kweli
Kila shetani ana mbuyu wake!