johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Magufuri alimteua Dr Bashiru kutoka CUF kwenda ccm kuwa katibu mkuuCCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi.
Mwenyekiti wa CCM Dkt. Magufuli amesema palikuwepo mamilioni ya wanaccm ambao wangeweza kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama lakini aliona lazima chama kiongozwe na muuza ndizi Dkt. Bashiru.
Wakulima Oyeeeee!
Maendeleo hayana vyama.
Yeye ndiye mtukufu analolitamka linakuwa.
Hapo Ufipa mnaongozwa na wafanyabiashara!Yeye ndiye mtukufu analolitamka linakuwa.
Nchi hii ni tajiriiiiiiiiii lkn lugha zinazotumika sasa mara muuza ndizi,wanyonge,jalalani.Bashiru alitolewa chuoni akifundisha asitudanganye. Hau kwa sababu alimtembelea kwake akakuta ka bustani ka ndizi akajua ni muuza ndizi!!
Kiswahili kina misamiati mingi!Nchi hii ni tajiriiiiiiiiii lkn lugha zinazotumika sasa mara muuza ndizi,wanyonge,jalalani.
Maisha ndio huamua kuwa mpinzani au ccm,ukitusua kwa jasho lako utakuwa mpinza,ukitusua kwa kubebwa we ccm,ukifaulu shule mpinzani, ukifeli ccm, ccm ina mtaji mikoa ya wasio na mwamko wa elimuKamanda watoto ni taifa la kesho. Hapa ndipo Ccm huwa inatuzidi kete. Hawa watoto wataipenda Ccm hadi uzeeni.
Post kama hizi zinakisaidia nini chama chetu wakati wa uchaguzi?ππππππ kumbuka Mkuu aliwahi kujiita KICHAA huyo, akili yake ina mushkeli tena si mdogo.
P
Post kama hizi zinakisaidia nini chama chetu wakati wa uchaguzi?
Ni ushauri tu maana kamanda lazima uwe na point za maana.Wewe nani humu hadi utuamulie kipi kinachostahili kuandikwa humu? π³
Wewe ni 'mnafiki' uliyejificha kwenye avatar ya picha ya CHADEMA chama la wana.Kamanda watoto ni taifa la kesho. Hapa ndipo Ccm huwa inatuzidi kete. Hawa watoto wataipenda Ccm hadi uzeeni.
Muuza ndizi kutoka kemondo!!Jamaa ana dharau sana, eti muuza ndizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya nakaa kimya,maana unataka nisapoti hata upuuzi.Wewe ni 'mnafiki' uliyejificha kwenye avatar ya picha ya CHADEMA chama la wana.
Ni ushauri tu maana kamanda lazima uwe na point za maana.
Kuna graduation ya wanafunzi hapo au ni nini?