Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Sawa kamanda original ila ndio mnatuharibia chama.Hebu niondolee ukamanda wako FAKE hapa!
Sawa kamanda original ila ndio mnatuharibia chama.Hebu niondolee ukamanda wako FAKE hapa!
Wewe ni 'mnafiki' uliyejificha kwenye avatar ya picha ya CHADEMA chama la wana.
Hayo tu matumizi yako ya neno “kutusua “ ime summarize mengi sana kuhusu wewe.Maisha ndio huamua kuwa mpinzani au ccm,ukitusua kwa jasho lako utakuwa mpinza,ukitusua kwa kubebwa we ccm,ukifaulu shule mpinzani,ukifeli ccm,ccm ina mtaji mikoa ya wasio na mwamko wa elimu
Thubutu!! Kama ingekuwa rahisi hivyo basi wanaume wote wangeoa wapenzi wao wa shuleni!!!Kamanda watoto ni taifa la kesho. Hapa ndipo Ccm huwa inatuzidi kete. Hawa watoto wataipenda Ccm hadi uzeeni.
Anakuaribia chama wewe na nani,?Sawa kamanda original ila ndio mnatuharibia chama.
Hii nini unaandika kamanda. Watoto wanaaza mapenzi shule ya msingi?Thubutu!! Kama ingekuwa rahisi hivyo basi wanaume wote wangeoa wapenzi wao wa shuleni!!!
Hiyo ID ina umri wa siku 2 tu, imesajiliwa September 13, 2020.Wewe ni 'mnafiki' uliyejificha kwenye avatar ya picha ya CHADEMA chama la wana.
Kwa wakati ule, mbona namuona Lissu hapo, na Mbowe, na Mnyika, na Mdee na sasa ni watu wazima, mbona ni Wapinzani?Kamanda watoto ni taifa la kesho. Hapa ndipo Ccm huwa inatuzidi kete. Hawa watoto wataipenda Ccm hadi uzeeni.
Ok hayo ni maono yako.Kwa wakati ule, mbona namuona Lissu hapo, na Mbowe, na Mnyika, na Mdee na sasa ni watu wazima, mbona ni Wapinzani?
Akili zako ni sawa na mbuni, unaficha kichwa wakati wowowo lako liko nje. Utatiwa madole. Fanculo.Hii nini unaandika kamanda. Watoto wanaaza mapenzi shule ya msingi?
Makamanda wapuuzi kama wewe hudhani matusi ndio jibuAkili zako ni sawa na mbuni, unaficha kichwa wakati wowowo lako liko nje. Utatiwa madole. Fanculo.
Chadema inaongozwa na muuza mbege.
Matokeo yake mnayajua
Pia huyu licha ya kuuza ndizi na yeye pia si katokea kule jalalani kama Kabudi alivyojifafanuaga Chimbuko lao! Usanii mtupu wenye ulanghai wa PHDYeye ndiye mtukufu analolitamka linakuwa.
Rais magufuly hapaswi “kutofokea” inatakiwa arudi kwetu kwa upole na heshima atuambie
Anamuiga kaka yake mkapaRais magufuly hapaswi “kutofokea” inatakiwa arudi kwetu kwa upole na heshima atuambie
”ndugu wananchi, mlinipa dhamana ya kuwatumikia, katika KAZI mliyonituma nimefanya kadha wa kadha, kama mmeridhika naombeni mnipe tena ridhaa” sio kama anavyofanya “makasiriko” na “kutufokea”!