Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nimempa Bakhresa hekari 10,000 azalishe sukari

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nimempa Bakhresa hekari 10,000 azalishe sukari

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
"Nimempa hekari elfu 10 iliazalishe sukari tan 30,000 hadi 35,000 kwa mwaka na watanzania 800 watapata ajira na badae uzalishaji utafikia tani 60,000 hadi 70,000 na kutoa ajira 2000"

Magufuli akiwa Pwani Leo

BM.jpg

Chanzo: TBC online
 
Matajiri Kama Hawa native,inabidi walindwe wapewe kila msaada wanapohitaji.
Watu Kama Hawa wanamchwngo mkubwa ktk uchumi wa nchi.inabidi hata wasaidiwe taarifa za Intelligensia kuhusu biashara.
Inabidi ifike mahari,Dola ikisikia Bakheresa kapata shida nje ya nchi,taasisi zote za kiusalama lazima ziingie kazini.
Tujifunze kwa Huawei,titock,haya yote ni makampuni ya binafsi ya Raia wa china,lakini USA ilipoanza vita nayo,Idara za kiusalama za china,balozi zake Zilisimama kidete kuyatetea na kuyalinda.
 
Wazalendo wa nchi hii tuanziona jitihada zako katika kuleta maendeleo na tunakuahidi USHINDI WA KISHINDO.

October 28th tafadhali kura zote za ndio apewe Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Huyu si ndiye aliyesema kuwa alipoingia madarakani sukari ilikuwa ikiuzwa elfu 5(5000/=)!!!!

Wewe ni miongoni mwa Watanzania wapumbavu. Maana ujinga ushakuondoka bado upumbavu tu.
Wewe ndio wale mnaopiga makofi na vigeregere Serikali inapoongopa kuwa ndani ya miaka 5 imeleta ajira zaidi ya milioni 8 huku vijana wanateseka kwa ugumu wa maisha.
Hapohapo watumishi wa umma ni laki 5 mpk waliopo ubalozini
 
"Nimempa hekari elfu 10 iliazalishe sukari tan 30,000 hadi 35,000 kwa mwaka na watanzania 800 watapata ajira na badae uzalishaji utafikia tani 60,000 hadi 70,000 na kutoa ajira 2000"

Magufuli akiwa Pwani Leo

Chanzo: TBC online
Kama yeye ni shujaa ampe Masawe heka elfu 10 aone kama hatazalisha sukari. Magufuli mdhaifu sana kwa watu wenye rangi nyeupe na ndiyo maana pale Mkapa akasema yeye anasikiliza wenye rangi nyeupe mapema kuliko weusi.
 
Mwenye nacho huongezewa, kwanini asinipe mimi? ametoa kama shamba lake au mali ya serikali? huyu mzee mali za umma zimegeuka mali zake binafsi.
Wewe nawe mjinga huyo bakharesa emepe2a atajenga viwanda vitatoa Ajira KWa watu lakini fursa KWa wakulima kuuza mazao yaoo
 
"Nimempa hekari elfu 10 iliazalishe sukari tan 30,000 hadi 35,000 kwa mwaka na watanzania 800 watapata ajira na badae uzalishaji utafikia tani 60,000 hadi 70,000 na kutoa ajira 2000"

Magufuli akiwa Pwani Leo

Chanzo: TBC online
Yan Magufuli kila kitu "anajiona" yeye badala ya kuiona Serikali anayoongoza..

Kila kitu anajiona kafanya yeye yeye yeye hadi akaamua ajijengee Uwanja wa Ndege Kijijini kwake

Bado ajijengee Sanamu lake pale Ikulu
 
Back
Top Bottom