lenyu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 447
- 497
Kumbukumbu zangu zinasema izo hekari alipewa 2016. Ni Jambo Jema"Nimempa hekari elfu 10 iliazalishe sukari tan 30,000 hadi 35,000 kwa mwaka na watanzania 800 watapata ajira na badae uzalishaji utafikia tani 60,000 hadi 70,000 na kutoa ajira 2000"
Magufuli akiwa Pwani Leo
Chanzo: TBC online
Now tunataka report ya Mali yetu (ardhi) tuliyompa siyo porojo.
Atuambie mikakati imefikia wapi Kama hakuwa tayari angesema mapema.
Au nayeye vyuma vilikaza?