Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nimempa Bakhresa hekari 10,000 azalishe sukari

Mwenye nacho huongezewa, kwanini asinipe mimi? ametoa kama shamba lake au mali ya serikali? huyu mzee mali za umma zimegeuka mali zake binafsi.
Vyema ukaisoma sheria ya umiliki wa Ardhi Tanzania inasemaje ili tuanzie hapo.
 
Matajiri Kama Hawa native,inabidi walindwe wapewe kila msaada wanapohitaji.
Watu Kama Hawa wanamchwngo mkubwa ktk uchumi wa nchi.inabidi hata wasaidiwe taarifa za Intelligensia kuhusu biashara.
Inabidi ifike mahari,Dola ikisikia Bakheresa kapata shida nje ya nchi,taasisi zote za kiusalama lazima ziingie kazini.
Tujifunze kwa Huawei,titock,haya yote ni makampuni ya binafsi ya Raia wa china,lakini USA ilipoanza vita nayo,Idara za kiusalama za china,balozi zake Zilisimama kidete kuyatetea na kuyalinda.
 
Wazalendo wa nchi hii tuanziona jitihada zako katika kuleta maendeleo na tunakuahidi USHINDI WA KISHINDO.

October 28th tafadhali kura zote za ndio apewe Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hapohapo watumishi wa umma ni laki 5 mpk waliopo ubalozini
 
Kama yeye ni shujaa ampe Masawe heka elfu 10 aone kama hatazalisha sukari. Magufuli mdhaifu sana kwa watu wenye rangi nyeupe na ndiyo maana pale Mkapa akasema yeye anasikiliza wenye rangi nyeupe mapema kuliko weusi.
 
Mwenye nacho huongezewa, kwanini asinipe mimi? ametoa kama shamba lake au mali ya serikali? huyu mzee mali za umma zimegeuka mali zake binafsi.
Wewe nawe mjinga huyo bakharesa emepe2a atajenga viwanda vitatoa Ajira KWa watu lakini fursa KWa wakulima kuuza mazao yaoo
 
Yan Magufuli kila kitu "anajiona" yeye badala ya kuiona Serikali anayoongoza..

Kila kitu anajiona kafanya yeye yeye yeye hadi akaamua ajijengee Uwanja wa Ndege Kijijini kwake

Bado ajijengee Sanamu lake pale Ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…