Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nimempa Bakhresa hekari 10,000 azalishe sukari

Kumbukumbu zangu zinasema izo hekari alipewa 2016. Ni Jambo Jema

Now tunataka report ya Mali yetu (ardhi) tuliyompa siyo porojo.

Atuambie mikakati imefikia wapi Kama hakuwa tayari angesema mapema.

Au nayeye vyuma vilikaza?
 
Umempa kama nani bwana wewe!! sema serikali imempa na uache kutukoroga hapa.
 
2 Feb 2018
Shamba la miwa la Said Salim Bakhresa lililopo Makurunge - Bagamoyo linatarajia kuzalisha ajira mpya zaidi ya 1,000 baada ya upandikizaji wa miche ya miwa kwenye mashamba kuanza rasmi.

 
28 Dec 2017
Kampuni ya SSB iliyo chini ya Said Salim Bakhresa imeanza awamu ya kwanza ya upandaji mbegu za miwa kwaajili ya uanzishaji wa kiwanda cha sukari wilayani Bagamoyo. Tazama uwekezaji huo hekta 10,000
 
Unajua Mo alitekwa? Au unaposema walindwe una maanisha nini?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 

TBC TV imekuwa idara ya propaganda chini ya Katibu wa ideology na propaganda wa CCM Mpya Humphrey Polepole na kueneza taarifa isiyo sahihi kwa manufaa ovu kuelekea 28 Oktoba 2020 kwa kuwadanganya wananchi kwa taarifa potovu.
 
16 Aug 2018
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amewaamuru wafugaji wanaovamia eneo la mradi wa shamba la miwa hekta 10,000 linalomilikiwa na mwekezaji Said Salim Bakhresa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kuondoka mara moja ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima Mhandisi Ndikilo ametoa agizo hilo baada ya kuzuru shamba hilo akiwa ameambatana na kamati ya siasa ya Mkoa wa Pwani na kuelezwa changamoto iliyopo
 
Acha kukurupukia vitu isivyojua. Chadema mnakazi tarehe 28, lazima kieleweke.
 
tatizo wanaona watu ni wajinga vichwani
 
Kumbukumbu zangu zinasema izo hekari alipewa 2016. Ni Jambo Jema

Now tunataka report ya Mali yetu (ardhi) tuliyompa siyo porojo.

Atuambie mikakati imefikia wapi Kama hakuwa tayari angesema mapema.

Au nayeye vyuma vilikaza?
2018 walitangaza kupanda miwa sasa sielewi kwanini hiyo miwa haijakua hadi saivi ila kiufupi tumepigwa kama kawaida yetu
 
Mwenye nacho huongezewa, kwanini asinipe mimi? ametoa kama shamba lake au mali ya serikali? huyu mzee mali za umma zimegeuka mali zake binafsi.

Naam kama zile Talanta tano, mbili na moja
 
Alikua anajifanya anawapotezea waaekezaji wa ndani Sasa nini Tena?
Maji yamezidi Unga
Bado manji na murji uliowafilisi
 
Hayo maendeleo ya watu ni yapi ambayo hayahusishi vitu?

Hivi kuna mtu atapata hela nyingi kisha asijenge nyumba ama kununua gari? Kuna mtu wa namna hio? Kuna mtu hatafungua miradi binafsi ya kujiendeleza kiuchumi thereafter? Kuna mtu ambaye akipata disposable income hatanunua nguo nzuri na viatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…