TumainiEl
Juzi ulisema haya:
Ndugu Lissu Kwa clips tulizo nazo kwenye maktaba zetu umesikika ukisema miradi yote mikubwa ni Siri na eti ilipita bila zabuni kutangazwa je unaweza thibitisha?
2. Umesikika ukisema malipo yote ndani ya serikali Kwa miradi mikubwa yanafanyika na Dotto James na Mh Rais Yani wao Tu ndio wanajuwa je unaweza kututhibitishia kama mwanasheria?
3. Unasema Dotto James na Mzee ni MTU na mpwa wake je Una ushahidi ku prove hili?
4. Umesema kampuni ya Mayanga ni ya Mzee na eti huyo owner na Mzee wameowa nyumba moja je Una ushahidi ktk hili?
5. Umesema kampuni ya Mayanga inapewa tenda Kwa upendeleo je Una ushahidi?
6. Unasema Kutokana na kuanzia moja mpaka tano serikalini yanayo endelea kwenye mirad mikubwa ni wizi Mtupu any comment huwo wizi ulifanyikaje na lini?
7. Umesikika ukisema serikali haijalipa wala kuongeza mishara Kwa kipindi cha miaka mitano je Nani kakwambia na huku ukijuwa mshara wa MTU ni Siri yake je unaweza leta ushahidi
Ama Kwa hakika KAZI unayo Mzee Baba sijuwi kama hawajakuengua Kwa upepo wa sunami
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Shark
Shark
JF-Expert Member
8 minutes ago
Add bookmark
#2
TumainiEl said:

3. Unasema Dotto James na Mzee ni MTU na mbwa wake je Una ushahidi ku prove hili?
4. Umesema kampuni ya Mayanga ni ya Mzee na eti huyo owner na Mzee wameowa nyumba moja je Una ushahidi ktk hili?
5. Umesema kampuni ya Mayanga inapewa tenda Kwa upendeleo je Una ushahidi?
6. Unasema Kutokana na kuanzia moja mpaka tano serikalini yanayo endelea kwenye mirad mikubwa ni wizi MTU any comment huwo wizi ulifanyikaje na lini?
Ama Kwa hakika KAZI unayo Mzee Baba sijuwi kama hawajakuengua Kwa upepo wa sunami
Click to expand...
Mbona maswali mepesi sana Haya kama ndo anayoitiwa na NEC basi watafurai wenyewe na majibu yake na WATAJUTA
Thanks Thanks Quote Reply Select for moderation Report
LoveThanks Reactions: You and BAK
T
TumainiEl
JF-Expert Member
7 minutes ago
Add bookmark
#3
Shark said:
Mbona maswali mepesi sana Haya kama ndo anayoitiwa na NEC basi watafurai wenyewe na majibu yake na WATAJUTA
Una uhakika mkubwa
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Freema Agyeman
Freema Agyeman
JF-Expert Member
6 minutes ago
Add bookmark
#4
Unatafuta ugomvi na makamanda!
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
S
shimwa
JF-Expert Member
6 minutes ago
Add bookmark
#5
Wewe unasemaje mmeku
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
J
JokaKuu
Platinum Member
5 minutes ago
Add bookmark
#6
..Pia alisema Magufuli amelegea.😂
..atoe ushahidi kwamba kweli Magufuli amelegea.
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Haha Reactions: Keynez
Noel france
Noel france
JF-Expert Member
4 minutes ago
Add bookmark
#7
Sijui kwanini nina imani na Tundu Lissu.
Kila la kheri mh. Tundu A. Lissu
Thanks Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Thanks Reactions: You
T
Trust None
JF-Expert Member
4 minutes ago
Add bookmark
#8
TumainiEl said:
Ndugu Lissu Kwa clips tulizo nazo kwenye maktaba zetu umesikika ukisema miradi yote mikubwa ni Siri na eti ilipita bila zabuni kutangazwa je unaweza thibitisha?
2. Umesikika ukisema malipo yote ndani ya serikali Kwa miradi mikubwa yanafanyika na Dotto James na Mh Rais Yani wao Tu ndio wanajuwa je unaweza kututhibitishia kama mwanasheria?
3. Unasema Dotto James na Mzee ni MTU na mpwa wake je Una ushahidi ku prove hili?
4. Umesema kampuni ya Mayanga ni ya Mzee na eti huyo owner na Mzee wameowa nyumba moja je Una ushahidi ktk hili?
5. Umesema kampuni ya Mayanga inapewa tenda Kwa upendeleo je Una ushahidi?
6. Unasema Kutokana na kuanzia moja mpaka tano serikalini yanayo endelea kwenye mirad mikubwa ni wizi Mtupu any comment huwo wizi ulifanyikaje na lini?
Ama Kwa hakika KAZI unayo Mzee Baba sijuwi kama hawajakuengua Kwa upepo wa sunami
Click to expand...
Pole sana, unadhani hana majibu? Yapo tu na mtafurahi wenyewe
Thanks Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Thanks Reactions: You
T
TumainiEl
JF-Expert Member
3 minutes ago
Add bookmark
#9
shimwa said:
Wewe unasemaje mmeku
KAZI ipo maana hiyo panel Tu itakuwa ya roho mbaya
Thanks Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Thanks Reactions: You
T
Tigershark
JF-Expert Member
3 minutes ago
Add bookmark
#10
Maswali mepesi kwa mtu makini kama TAL!
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Sky Eclat
Sky Eclat
JF-Expert Member
3 minutes ago
Add bookmark
#11
Lissu hawezi kuongea hadharani kitu Asiago na ushahidi Nacho. Hii ni nchi ya kidemokrasia na huu ni wakati wa kampeni za Urais. Rais ni mtu safi asiye ná kashfa katiba yetu inatuekeza. Makando kando ya mgombea yatasaidia Raia kufanya maamuzi sahihi kama yatafahamika mapema.
Magufuli mwaga kashfa za Lissu tunazisubiri.
Quote Reply Select for moderation Report Edit Delete
mtarimbo
mtarimbo
Senior Member
3 minutes ago
Add bookmark
#12
TumainiEl said:
Ndugu Lissu Kwa clips tulizo nazo kwenye maktaba zetu umesikika ukisema miradi yote mikubwa ni Siri na eti ilipita bila zabuni kutangazwa je unaweza thibitisha?
2. Umesikika ukisema malipo yote ndani ya serikali Kwa miradi mikubwa yanafanyika na Dotto James na Mh Rais Yani wao Tu ndio wanajuwa je unaweza kututhibitishia kama mwanasheria?
3. Unasema Dotto James na Mzee ni MTU na mpwa wake je Una ushahidi ku prove hili?
4. Umesema kampuni ya Mayanga ni ya Mzee na eti huyo owner na Mzee wameowa nyumba moja je Una ushahidi ktk hili?
5. Umesema kampuni ya Mayanga inapewa tenda Kwa upendeleo je Una ushahidi?
6. Unasema Kutokana na kuanzia moja mpaka tano serikalini yanayo endelea kwenye mirad mikubwa ni wizi Mtupu any comment huwo wizi ulifanyikaje na lini?
Ama Kwa hakika KAZI unayo Mzee Baba sijuwi kama hawajakuengua Kwa upepo wa sunami
Click to expand...
Bwashee umezinduka maana nilijua Ile K-vant imekuzima
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
kurlzawa
kurlzawa
JF-Expert Member
3 minutes ago
Add bookmark
#13
TumainiEl said:
Ndugu Lissu Kwa clips tulizo nazo kwenye maktaba zetu umesikika ukisema miradi yote mikubwa ni Siri na eti ilipita bila zabuni kutangazwa je unaweza thibitisha?
2. Umesikika ukisema malipo yote ndani ya serikali Kwa miradi mikubwa yanafanyika na Dotto James na Mh Rais Yani wao Tu ndio wanajuwa je unaweza kututhibitishia kama mwanasheria?
3. Unasema Dotto James na Mzee ni MTU na mpwa wake je Una ushahidi ku prove hili?
4. Umesema kampuni ya Mayanga ni ya Mzee na eti huyo owner na Mzee wameowa nyumba moja je Una ushahidi ktk hili?
5. Umesema kampuni ya Mayanga inapewa tenda Kwa upendeleo je Una ushahidi?
6. Unasema Kutokana na kuanzia moja mpaka tano serikalini yanayo endelea kwenye mirad mikubwa ni wizi Mtupu any comment huwo wizi ulifanyikaje na lini?
7. Umesikika ukisema serikali haijalipa wala kuongeza mishara Kwa kipindi cha miaka mitano je Nani kakwambia na huku ukijuwa mshara wa MTU ni Siri yake je unaweza leta ushahidi
Ama Kwa hakika KAZI unayo Mzee Baba sijuwi kama hawajakuengua Kwa upepo wa sunami
Click to expand...
Tunaogopa kutekwa ila hayo ata mimi naweza kuyajibu vizuri tu.
Thanks Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Thanks Reactions: You
T
TumainiEl
JF-Expert Member
2 minutes ago
Add bookmark
#14
Trust None said:
Pole sana, unadhani hana majibu? Yapo tu na mtafurahi wenyewe
Una uhakika?
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Sky Eclat
Sky Eclat
JF-Expert Member
2 minutes ago
Add bookmark
#15
TumainiEl said:
KAZI ipo maana hiyo panel Tu itakuwa ya roho mbaya
Mungu ni wa miujiza, chumvi inaweza kusifu tena kwenye damu hali ya bwana yule ikawa tete.
Quote Reply Select for moderation Report Edit Delete
Q
Quinine
JF-Expert Member
2 minutes ago
Add bookmark
#16
Wekeni wazi mikataba acheni maneno.
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
M
Missile of the Nation
JF-Expert Member
1 minute ago
Add bookmark
#17
Yaani mtaalamu wa sheria kama Lissu unamuuliza maswali mepesi kama hayo?
Akifika hapo kwenye Tume Lissu ataiomba tume imlete huyo anayelalamika ili aeleze vizuri malalamiko yake.
Tume haiwezi kulakamika kwa niaba ya mtu bali mtu aliyeudhiwa ndo inabidi alalamike tume kwa malalamiko rasmi.
Thanks Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Thanks Reactions: You
T
TumainiEl
JF-Expert Member
1 minute ago
Add bookmark
#18
kurlzawa said:
Tunaogopa kutekwa ila hayo ata mimi naweza kuyajibu vizuri tu.
Asa unaogopa nini sema ukweli unaujuwa
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Bujibuji
Bujibuji
JF-Expert Member
A moment ago
Add bookmark
#19
TumainiEl said:
Ndugu Lissu Kwa clips tulizo nazo kwenye maktaba zetu umesikika ukisema miradi yote mikubwa ni Siri na eti ilipita bila zabuni kutangazwa je unaweza thibitisha?
2. Umesikika ukisema malipo yote ndani ya serikali Kwa miradi mikubwa yanafanyika na Dotto James na Mh Rais Yani wao Tu ndio wanajuwa je unaweza kututhibitishia kama mwanasheria?
3. Unasema Dotto James na Mzee ni MTU na mpwa wake je Una ushahidi ku prove hili?
4. Umesema kampuni ya Mayanga ni ya Mzee na eti huyo owner na Mzee wameowa nyumba moja je Una ushahidi ktk hili?
5. Umesema kampuni ya Mayanga inapewa tenda Kwa upendeleo je Una ushahidi?
6. Unasema Kutokana na kuanzia moja mpaka tano serikalini yanayo endelea kwenye mirad mikubwa ni wizi Mtupu any comment huwo wizi ulifanyikaje na lini?
Ama Kwa hakika KAZI unayo Mzee Baba sijuwi kama hawajakuengua Kwa upepo wa sunami
Click to expand...
Huu upuuzi sio wa kujibiwa na Mheshimiwa Rais Tundu Lissu
Thanks Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Thanks Reactions: You
T
TumainiEl
JF-Expert Member
A moment ago
New
Add bookmark
#20
Missile of the Nation said:
Yaani mtaalamu wa sheria kama Lissu unamuuliza maswali mepesi kama hayo?
Akifika hapo kwenye Tume Lissu ataiomba tume imlete huyo anayelalamika ili aeleze vizuri malalamiko yake.
Tume haiwezi kulakamika kwa niaba ya mtu bali mtu aliyeudhiwa ndo inabidi alaamike tume kwa malalamiko rasmi
Click to expand...
Mepesi? Haya weee
Thanks Quote Reply Select for moderation Report
Remove formatting
Bold
Italic
Underline
Text color
Font family
Font size
Insert link
Remove all links
Insert image
Smilies
Insert
Alignment
List
Insert table
Undo
Redo
Subscript
Superscript
Drafts
Toggle BB code
Write your reply...
Post reply
Preview
Attach files
Similar threads
Idugunde
Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Kura za kizalendo zitaamua nani awe mshindi wa Urais, kwa mantiki hii Lissu hana chake toka kwa wazalendo
Started by Idugunde Friday at 7:38 AM Replies: 35
Jukwaa la Siasa
GENTAMYCINE
Ni 'Mpuuzi' gani 'alimdanganya' Mzee Stephen Wassira kuwa Tundu Lissu anataka kuwa Rais wa Tanzania kwakuwa tu alipigwa Risasi Dodoma?
Started by GENTAMYCINE Monday at 3:23 PM Replies: 28
Jukwaa la Siasa
M
Nimesikia Mzee Yusufu Makamba akitaka hoja za Lissu kujibiwa
Started by mcoloo Sep 11, 2020 Replies: 8
Jukwaa la Siasa
YEHODAYA
Uchaguzi 2020 Lissu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu
Started by YEHODAYA Sep 6, 2020 Replies: 35
Jukwaa la Siasa
jingalao
Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Lissu kasuswa na Mzee Edwin Mtei?
Started by jingalao Sep 3, 2020 Replies: 94
Jukwaa la Siasa
Share:
Facebook
Twitter
Reddit
WhatsApp
Email
Link
Jukwaa la Siasa
Sky Eclat
Edit
Sky Eclat
JF-Expert Member
Messages 45,706
Reaction score 154,695
Trophy points 2,000
WHO WE ARE
JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.
You are always welcome!
Read more...
WHERE ARE WE?
We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.
For anything related to this site please Contact us.
Contact us now...
DISCLAIMER
JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
Read more...
FORUM RULES
JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.
You MUST read them and comply accordingly.
Read more...
PRIVACY POLICY
We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.
Read our Privacy Policy.
Proceed here...
Change Mode
Change width
Contact us
Terms and rules
JamiiForums' Privacy Policy
Help