Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

Too late. Ngoja abamizwe akajutie Chato. Anajiziuka na makundi feki ya wanaojitokeza kwenye mikutano yake. Watu wanafuata kumshangaa mtu aliyeharibu mifumo ya maisha katika nchi yenye amani. Wanakuja kwenye tamasha la wasanii, wanakuja kushangaa movie za walinzi, kutazama safu za magari yanayotisha na helikopta angani.

Ukweli ni huu, katika umati wote ule atapata kura chini ya robo tu.
 
Ndege John, Imhotep, TumainEl, Mahanju, gussie....sasa mmeelewa tulichowahubiria miaka 5
Nataka mabadiliko wameshakula Sana hii nchi waache yu na wengine wale hata km tutapigwa Tena nafuu kuliwa kuliwa na wale wale wanapeana maisha wao kwa wao maarufu...pum.bav kbs CCM mmetuvunjia heshima vijana kwa kutunyima ajira na huku tumesoma kwa mamilioni ni heri tungefanya biashara mapema
 
Too late. Ngoja abamizwe akajutie Chato. Anajiziuka na makundi feki ya wanaojitokeza kwenye mikutano yake. Watu wanafuata kumshangaa mtu aliyeharibu mifumo ya maisha katika nchi yenye amani. Wanakuja kwenye tamasha la wasanii, wanakuja kushangaa movie za walinzi wako, kutazama safu za magari yanayotisha na helikopta angani.

Ukweli ni huu, katika umati wote ule atapata kura chini ya robo tu.
Ukweli mtupu. Na yeye kaona ndio maana kaja na strategy mpya ya kujiliza kwemye maiki. Yale yale ya Makonda.
 
A
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.
Ungekunywa Kvanta Na Maandazi ungerudia ufahamu wako huku uraiani tuko Powa sisi Vijana tunaojituma. Nyie BAVICHA MNAEMSUBILIA LISSU AWE RAIS AWAJAZE MAHELA AU ABADILI MAISHA MTANGOJA SANA

MAGUFULI 5 TENA
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.
Polepole Ndio ametuponza kwa kuwa dharau hadharani wazee wetu na kusema '' hatutaki Tena shikamoo wasanii wanatosha""
Wazee kama Akina Kinana na Makamba wamedhalilishwa na polepole hadharani eti '' tumewapa karipio hii CCM sio walio izoea shikamoo Hawa kama vipi waende wanakotaka''
Kwa kweli kauli kama hizi zimetuvunja moyo wazee na makada wa Chama
Kwa Mara ya kwanza makada wa Chama wanaweza kupigia kura upinzani
 
Nataka mabadiliko wameshakula Sana hii nchi waache yu na wengine wale hata km tutapigwa Tena nafuu kuliwa kuliwa na wale wale wanapeana maisha wao kwa wao maarufu...pum.bav kbs CCM mmetuvunjia heshima vijana kwa kutunyima ajira na huku tumesoma kwa mamilioni ni heri tungefanya biashara mapema
Kweli kabisa. Yaani watanzania wengi maskini wakati wengine wananemeka. Hivi kweli kuna haja ya mtu anastaff ni mkurugenzi wa PSPF anapewa tena ubalozi??
Au mtu anastafu Maj General anapewa tena Ubunge?? Au mtu anamaliza ukuregenzi Taasisi fulani anateuliwa tena kuwa mkuu wa mkoa?? Why why?? Wengine tufannye nini sasa??
 
Polepole Ndio ametuponza kwa kuwa dharau hadharani wazee wetu na kusema '' hatutaki Tena shikamoo wasanii wanatosha""
Wazee kama Akina Kinana na Makamba wamedhalilishwa na polepole hadharani eti '' tumewapa karipio hii CCM sio walio izoea shikamoo Hawa kama vipi waende wanakotaka''
Kwa kweli kauli kama hizi zimetuvunja moyo wazee na makada wa Chama
Kwa Mara ya kwanza makada wa Chama wanaweza kupigia kura upinzani
Laana inawatafuna.
 
Unachoshangaa Nini Sasa
Hv mnafikiri Hapo magu kutoka moyoni kawapigoa magoti? anawapumbaza na mlivyoi wazembe mnaona anaogopaaa
Mnamjua vizuri magu nyie
USHINDI NI WA KWAKEEEE
HAKUNA WA KUMTISHA
Hapa Nina watoto watatu wamejiandikisha tunasubiru tarehe tu
Naona hii ni project mpya ya Zero Chakubanga.
 
Umeshamaliza kuota? Tunaheshimu hisia zako lakini ziko tofauti na uhalisia. Maelezo yako hayana takwimu. CCM ina wanachama wangapi, je unajua idadi ya wapiga kura? CCM ina mtaji mkubwa. Hizo hadithi wasimulie wanao na endeleeni kumdanganya wakala wa mabeberu!
 
Kweli kabisa. Yaani watanzania wengi maskini wakati wengine wananemeka. Hivi kweli kuna haja ya mtu anastaff ni mkurugenzi wa PSPF anapewa tena ubalozi??
Au mtu anastafu Maj General anapewa tena Ubunge?? Au mtu anamaliza ukuregenzi Taasisi fulani anateuliwa tena kuwa mkuu wa mkoa?? Why why?? Wengine tufannye nini sasa??
Acha kabisa mkuu
CCM wachoyo sana hawaonei huruma watoto wa maskini
Mwinyi kawa raisi na Tena mwinyi mtoto anapewa urais
Hadija kopa kala mahela na Tena zuchu wanampa maisha Wana force ndo tabia zao...CCM wanafanya kazi Kama walevi
 
Back
Top Bottom