Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

Huko Mbarali polisi wameshusha bendera za CHADEMA ili Meko asizione atakapokua anapita kuelekea Mbeya.

Yaani wanamdanganya kwamba anapendwa Tanzania nzima na raia wote wanamkubali.

Atakaposhtuka Lissu atakuwa yuko kwenye kiti cha enzi pale Chamwino.
 
The whole truth. TumainEl nini kinakufanya umkatie tamaa Jpm ikiwa ana Tume, Jeshi, MaDED wote wake. Nini hasa kinakufanya uone kama atafeli??
 
Alijaza Lowasa itakuwa Lissu

Huyo zero kabisaa
Hata Rungwe anamshinda
Lowasa hawezi kumfikia Lissu hata kidogo. LOWASA ALIKUWA NA SERA GANI?
leo kila mbinu ya wizi inabumbuluka kabla ya kuanza.

Lissu ametujengea ujasiri ambao hakuna mtu yeyote aliwahi tokea.

Lissu ametuonesha jinsi ilivyongumu kuhinda uchaguzi huu tofauti na Lowasa anatwambia tukapige kura mengine tumwachie....kumbe mzee mnafiki amekula dili na jpm

Hii haitatokea mwaka huu. Pili roho mbaya na uchawi wa magu unamuandama na mikosi, nuksi....nk
 

HAKUNA WAZEE WA KUMSHAURI ALISHAWATUKANA WAZEE WA BUSARA KUWA WANAWASHWA WASHWA WAKAE KIMYA WASIMUINGILIE KWENYE UFALME WAKE!!!
 
Na bado ataendelea kutawala
Unune na upasuke
 
Na wanakesha usiku kucha kumsubiri kama jana kule Karatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…