Mimi nimeweka ushahidi, Wewe leta vigezo

Sawa ndege huzioni, reli huoni, barabara na madaraja huyaoni, elimu bure huoni, hospitali na zahanati huzioni, ulinzi na usalama huuoni, basi tuambie Wewe mtanzania mwenzetu waona nini?Mimi pia ni Mtanzania lakini sioni unachodai kuwa "kila Mtanzania anaona". Na nina uhakika 110% kuwa kuna Watanzania wengi sana ambao hawajui chochote kuhusu ATCL, sasa hiyo "kila Mtanzania anaona" ina maana gani?
CrapKwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:
1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2. Amekarabati shule kongwe, vyuo vya ualimu na kupeleka ruzuku ya elimu bure mashuleni.
3. Ameboresha ulinzi wa rasilimali kwa kukomesha ujangili
4. Amedhibiti biashara ya madawa ya kulevya
5. Ameboresha sheria na mikataba ya madini hivyo kuongeza pato la Taifa
6. Ameboresha uzalishaji na utendaji wa mashirika ya umma hivyo kwa sasa yanatoa gawio serikalini badala ya kuomba ruzuku
7. Amedumisha ulinzi na usalama nchini hivyo kukomesha ujambazi na mipaka IPO salama hakuna chokochoko za majirani
8. Amejenga hospitali mpya za wilaya na mikoa na kuboresha vituo vya afya, zahanati na huduma za afya hivyo idadi ya wagonjwa kupelekwa India imepungua
9. Ameboresha mfumo wa ajira serikalini kwa kudhibiti rushwa katika sekretarieti ya ajira, sasa vijana kutoka kaya maskini wanapata ajira bila upendeleo
10. Amefungua milango ya uhamisho kwa wahadhili vyuo vikuu hivyo kuondoa upendeleo, ubabe wa maprofesa vyuoni
11. Amedhibiti asasi za kihuni nchini zilizokuwa zinaeneza uharibifu na mmomonyoko katika jamii
12. Amerudisha nidhamu serikalini na heshima katika jamii hivyo hakuna urasimu wala umangimeza
13. Amedhibiti utoroshaji wa madini kwa kujenga ukuta mererani na kuimarisha ulinzi
14. Ameboresha huduma za bandari na sasa ni kimbilio kwa wafanyabiashara wa ndani na nje
15. Ameimarisha usafiri uliokufa mfano Reli ya Tanga, Tazara na reli ya kati, sasa ujenzi wa standard gauge
16. Amerejesha mahusiano ya kimataifa yaliyopotea mfano Israel na Morocco
17. Amedhibiti safari za nje kwa viongozi hivyo kuokoa fedha za kigeni.
18. Ameongeza makusanyo ya kodi hivyo kuimarisha uwezo wa Taifa kujitegemea.
19. Amepunguza kiwango cha umaskini na kukuza uchumi kama takwimu za benki ya dunia zinavyoonesha.
20. Amerejesha heshima ya nchi kimataifa, sasa watanzania tunatembea kifua mbele ndani na nje ya nchi.
TUNAKUTAKIA AFYA NjEMA KATIKA MWAKA 2020, HATA KAMA WAPIGA DILI HAWATA KUPONGEZA, SISI WAZALENDO TUPO PAMOJA NAWE, KUKUUNGA MKONO NA KUKUOMBEA
Hakuna haki bila mipaka, nchi zenye maendeleo makubwa hapa duniani ni zile zinazozuia haki Fulani Fulani hivi. Peleka haki China uone kama hawajahujumiwa na mabeberu, kupanga ni kuchagua, haki au maendeleo.It's not surprising. Hata Adolf Hitler kuna watu kule Ujerumani wanamuenzi hadi leo hii.
Inategemea wewe unayemsifia huyo mtu your character vis a vis of that person. Kama hata shetani tu pamoja na yooote yaliyoandikwa kwenye misaafu lkn ndio bado ana wafuasi kibau sasa sembuse mtu.
Inategemea, yule anayesifia ana sababu zake sawa na yule anayeponda na mwisho, every one is entitled to his/her opinion.
Ila mimi kwa upande wangu naona yoote hayo yaliyotajwa hapo yameharibiwa na Magufuli's poor and dismal human rights record.
Ukijaza asali kwenye pipa kisha hiyo asali uidondoshee tone la mkojo then hiyo asali yoote inakuwa najisi.
Waelimishe watanzania wenzio ili wasipotoshwe na mabeberu na vibaraka wao, JPM kwaajili ya Maendeleo ya Tanzania na watanzania piaWell said Naunga mkono hoja Tena kwa Maandishi makubwa.
RAIS MAGUFULI NDO RAIS BORA AFRICA 2019. over!!....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vigezo hivyo hivyo unavyovipenda, tuletee hapa Rais bora Afrika kwa 2019.Tena ngoja nikurahusishie uelewe vizuri sifa ya kiongozi bora kwa huyo Magufuli:
Kwa vigezo hivyo hapo juu urais bora Afrika anaupataje kwa mfano?
- Miundombinu = B+ Good
- Umara wa bunge = F+ very poor
- Uimara wa mahakama = F+ very poor
- Uchumi = C- Avarage
- Ukuaji deni la taifa = F+ very poor
- Kilimo = D+ poor
- Ajira = F+ very poor
- Uwekezaji = D+ average
- Utawala bora = F+ very poor
- Umoja wa kitaifa = F+ very poor
- Raslimali = C+ average
- Mahusiano ya kimataifa = F+ very poor
- Afya = C- average
- Elimu = C+ average
- Uwezo wa kujenga hoja na kushawishi = F+ very poor
- Uvumilivu na usikivu = F+ very poor
- Utii wa sheria = F+ very poor
- Chaguzi zinazoaminika chini yake = F+ very poor
- Usalama wa raia = D+ very poor
leta Rais mwingine unayedhania ni Bora Afrika kuliko DR. JPM, hiyo marking scheme yako INA makengeza na INA mtazamo wa Kibeberu.Tena ngoja nikurahusishie uelewe vizuri sifa ya kiongozi bora kwa huyo Magufuli:
Kwa vigezo hivyo hapo juu urais bora Afrika anaupataje kwa mfano?
- Miundombinu = B+ Good
- Umara wa bunge = F+ very poor
- Uimara wa mahakama = F+ very poor
- Uchumi = C- Avarage
- Ukuaji deni la taifa = F+ very poor
- Kilimo = D+ poor
- Ajira = F+ very poor
- Uwekezaji = D+ average
- Utawala bora = F+ very poor
- Umoja wa kitaifa = F+ very poor
- Raslimali = C+ average
- Mahusiano ya kimataifa = F+ very poor
- Afya = C- average
- Elimu = C+ average
- Uwezo wa kujenga hoja na kushawishi = F+ very poor
- Uvumilivu na usikivu = F+ very poor
- Utii wa sheria = F+ very poor
- Chaguzi zinazoaminika chini yake = F+ very poor
- Usalama wa raia = D+ very poor
Ukweli ni UPI?, leta ushahidi hapaNamba9 na19 sio kweli
Maisha bora ni bidii yako kuchapa kazi na kuchangamkia fursaUmeandika porojo tu ambazo kwa sasa hazina mvuto tena wa kuzisikia au kuzisoma mahali popote pale!
Kiufupi tu Watanzania tunataka maisha bora na siyo bla bla, na nyimbo za mapambio zisizoisha za kumsifia na kumtukuza mtu wenu.
Utawala bora sio wa kuwaalika wapinzani kula na kunywa Bali ni huduma bora na uwajibikaji wa viongozi kwa umma, Utawala bora sio kuruhusu matusi kwa viongozi wala kuwaacha wawekezaji kupora rasilimali za Taifa.Huenda hujui ubora na utekelezaji tofauti yake ni ipi. Narudia tena, Magufuli sio rais bora na hatokaa awe rais bora. Sipingi kwenye hiyo list yako kuna alivyotekeleza kama sehemu ya wajibu wake, lakini suala la kuwa rais bora hilo futa kwenye matamanio yako. Sifa namba moja ya kiongozi bora ni utawala bora, kisha hayo yaliyo kwenye list yako ni ya baadae. Vinginevyo kama hiyo list yako ndio inatengeneza rais bora, basi ngoja tuweke list ya alivyofanya Kaburu Peter Botha wa Afrika kusaini, kama hatakuwa rais bora kabisa kuwahi kutokea Afrika.
Mtaje basi Rais wako bora kwa Afrika, 2019 kama Dr. JPM humkubali. Afrika nzima na dunia inajua, Tanzania INA Rais Bora wa Afrika,It's not surprising. Hata Adolf Hitler kuna watu kule Ujerumani wanamuenzi hadi leo hii.
Inategemea wewe unayemsifia huyo mtu your character vis a vis of that person. Kama hata shetani tu pamoja na yooote yaliyoandikwa kwenye misaafu lkn ndio bado ana wafuasi kibau sasa sembuse mtu.
Inategemea, yule anayesifia ana sababu zake sawa na yule anayeponda na mwisho, every one is entitled to his/her opinion.
Ila mimi kwa upande wangu naona yoote hayo yaliyotajwa hapo yameharibiwa na Magufuli's poor and dismal human rights record.
Ukijaza asali kwenye pipa kisha hiyo asali uidondoshee tone la mkojo then hiyo asali yoote inakuwa najisi.
Huo umasikini umeipimaje kama mabeberu wanakiri umasikini umepungua Tanzania?Vipi kuhusu maskini million 2 walioongezeka kuanzia 2016
PhD of stupidity similar to the magogoni PhDKwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:
1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2. Amekarabati shule kongwe, vyuo vya ualimu na kupeleka ruzuku ya elimu bure mashuleni.
3. Ameboresha ulinzi wa rasilimali kwa kukomesha ujangili
4. Amedhibiti biashara ya madawa ya kulevya
5. Ameboresha sheria na mikataba ya madini hivyo kuongeza pato la Taifa
6. Ameboresha uzalishaji na utendaji wa mashirika ya umma hivyo kwa sasa yanatoa gawio serikalini badala ya kuomba ruzuku
7. Amedumisha ulinzi na usalama nchini hivyo kukomesha ujambazi na mipaka IPO salama hakuna chokochoko za majirani
8. Amejenga hospitali mpya za wilaya na mikoa na kuboresha vituo vya afya, zahanati na huduma za afya hivyo idadi ya wagonjwa kupelekwa India imepungua
9. Ameboresha mfumo wa ajira serikalini kwa kudhibiti rushwa katika sekretarieti ya ajira, sasa vijana kutoka kaya maskini wanapata ajira bila upendeleo
10. Amefungua milango ya uhamisho kwa wahadhili vyuo vikuu hivyo kuondoa upendeleo, ubabe wa maprofesa vyuoni
11. Amedhibiti asasi za kihuni nchini zilizokuwa zinaeneza uharibifu na mmomonyoko katika jamii
12. Amerudisha nidhamu serikalini na heshima katika jamii hivyo hakuna urasimu wala umangimeza
13. Amedhibiti utoroshaji wa madini kwa kujenga ukuta mererani na kuimarisha ulinzi
14. Ameboresha huduma za bandari na sasa ni kimbilio kwa wafanyabiashara wa ndani na nje
15. Ameimarisha usafiri uliokufa mfano Reli ya Tanga, Tazara na reli ya kati, sasa ujenzi wa standard gauge
16. Amerejesha mahusiano ya kimataifa yaliyopotea mfano Israel na Morocco
17. Amedhibiti safari za nje kwa viongozi hivyo kuokoa fedha za kigeni.
18. Ameongeza makusanyo ya kodi hivyo kuimarisha uwezo wa Taifa kujitegemea.
19. Amepunguza kiwango cha umaskini na kukuza uchumi kama takwimu za benki ya dunia zinavyoonesha.
20. Amerejesha heshima ya nchi kimataifa, sasa watanzania tunatembea kifua mbele ndani na nje ya nchi.
TUNAKUTAKIA AFYA NjEMA KATIKA MWAKA 2020, HATA KAMA WAPIGA DILI HAWATA KUPONGEZA, SISI WAZALENDO TUPO PAMOJA NAWE, KUKUUNGA MKONO NA KUKUOMBEA
Paul Kagame ndiye mwenye kustahili hiyo sifa kwa jinsi alivyoiendeleza Rwanda.Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika: