Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Marehemu naye alikuwa na jazibaMkuu makada wa CCM mpya na team Magufuli walikuwa wanategemea sana mbeleko ya Benjamin Mkapa ktk kupangua hoja kutoka kwa wapinzani, kiasi kwamba hawakuona umuhimu wa Jakaya. Sasa imefika wakati anakubali kufa na tai shingoni.
Hoja jadidu za ushindani kutoka CDM za team Lissu na za ACT Wazalendo za team Membe na Maalim Seif zinamtia kiwewe.
Unajua maana ya mnyonge au unajiharishia tu ka bataHebu tulia wewe, unawashwa washwa na nini ? Magufuli ameshashinda huu uchaguzi akiamua anaweza hata akafunga kampeni leo na akapata ushindi zaidi ya asilimia 70%, wanyonge wote tunamkubali mtetezi wetu.
Haupo fair kabisa!!Salaam,
1. Kuhamia Dodoma ni Idea ya Mwalimu Nyerere
2. Stiegler's Gorge ni Idea ya Nyerere
3. Flyover zote ni Idea za Jakaya Kikwete
4. TASAF ni Idea ya Mkapa
5. Umeme Vijijini REA ni Idea ya Kikwete nk.
Yaani saa hivi ile kampeni meneja haipo tena anaipiga mwenyewe yaani ni jeshi la mtu mmojaNakumbuka mwaka 2015 alipo magufuli lazima Bulembo awepo.
Ila mwaka 2020 alipo Magufuli lazima waimba singeli wawepo.
Ok asante nimekuelewaKampeni za namna unayosema wewe, hua zinafanyika kipindi ambapo mtu mpya ndani ya CCM ameteuliwa kugombea Uraisi, hapo lazima atapewa support na amshaamsha ya kutosha,Sasa mkuu mtu tayari Ni rais, Dola inamtii yeye, afu mtumie nguvu ili iweje[emoji848]? Jaribu kulinganisha hata kampeni za kikwete 2005, na zile za 2010 alipokuwa Ni rais tayari, utagundua kitu.Au za mkapa wakati anaingia 1995 na zile za 2000.
Tuombe uzima tuone awamu hii itakuwajeJamaa Tanzania bara anajiamin atashinda kwasababu ya TISS, NEC na wakurugenzi
Aliyetekeleza kugawa ubwabwa nyama bure ni Mzee Rungwe peke yake, sifa na kura zimuendee🤣🤣🤣Haupo fair kabisa!!
Unamsifia mtu kuwa na “idea” then you try to discredit aliyetelekeza hizo ideas
Aliyeanza kuuza makampuni ya umma ni Mkapa.Tungeendelea na huyo mswahili kwa miaka 20 kila kitu kingeuzwa.usitukumbushe mambo ya ricmond, iptl, twiga wanabebwa wazima acha bwana.
Huyu bwana akiendelea miaka ijayo utashangaa amejiteka mwenyeweTungeendelea na huyo mswahili kwa miaka 20 kila kitu kingeuzwa.usitukumbushe mambo ya ricmond, iptl, twiga wanabebwa wazima acha bwana.
Kwa kumsaidia mwambie aende jukwaa la chitchatAcha wenye akili wachangie
Nimecheka sana mkuu😄😄😄Ni ngumu sana kujua Magufuli ni Mtu Wa namna gani...anaweza akaamka akawaambia kuwa "maendereo hayana chama" au "Mimi ni raisi Wa Watanzania wote na ninawapenda sana ndugu zangu au nasema uongo jamaniii!
Kamongo anazingua sana!Nimecheka sana mkuu😄😄😄