assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Dkt. Mahera kuwa makini watanzania watano wamefariki kwa sababu ya nyinyi kuleta mkanganyiko hapo jana.
Umejitokeza kujibu hoja lakini hukujibu hoja nzito za mnyika
1) Wasimamizi kwa makusudi kukataa kuwaapisha mawakala wa chadema wewe unasema kuhusu umbali je wale walioleta jeuri na kuvunja sheria hawana makosa
2) Mawakala kupewa nakala ya kiapo na barua ya utambulisho.
Please jitokeze ukemee tabia hizi za Wakurugenzi usije kuimwaga damu ya watanzania.
Kinga ni Bora kuliko tiba