assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️Mahera ni kama mdoli, nikikumbuka ile picha aliyopiga akiwa na Magufuli kaweka mikono mbele kama kondoo anapelekwa kuchinjwa ndio kabisa napoteza imani nae.
Kwa kaundika tuu Mko Vizuri, Mtu hujawah hata kulala Sero Leo unajidai mgumu, pumbaffNchi haina akani hii bali imejaa watu wavumilivu na mwisho wa Uvumilivu ni kwwnye Uchaguzi huu.
" Kama mbwai na iwe mbwai"
Sawa RidhiwaniKwa kaundika tuu Mko Vizuri, Mtu hujawah hata kulala Sero Leo unajidai mgumu, pumbaff
Nikuone Tarehe 28/10 Barabarani Shenzzz
Maneno mazitoTatizo ni mgawanyo wa madaraka.
Wasimamizi wa uchaguzi ni wakurugenzi wa halmashauri, Boss wao ni Rais, ndiye aliyewateua.
Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi naye kateuliwa na rais.
Unaweza kusema wako level moja, hiyo ndiyo inawafanya wasimamizi wa uchaguzi wadharau au kukaidi maelekezo ya mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi na kuamua kufua walichoambiwa na mteule wao pale aliposema "nikuteue, nikupe mshahara na gari la kutembelea halafu umtangaze mpinzani kuwa mshindi, iiiiiiiiii!!!!. Mkurugenzi wa tume anajitahidi kuelekeza kinachotakiwa lakini wasimamizi wa uchaguzi wanaofanya ndivyo sivyo!
Hizo nchi unazoziona zina machafuko unafikiri yalianzaje ndugu.Tuombe tuvuke salama lkn usijitoe fahamu kwamba machafuko hayawezi kutokea.Kwani sisi ni nani labda.Kwa kaundika tuu Mko Vizuri, Mtu hujawah hata kulala Sero Leo unajidai mgumu, pumbaff
Nikuone Tarehe 28/10 Barabarani Shenzzz
Mfano burundiHizo nchi unazoziona zina machafuko unafikiri yalianzaje ndugu.Tuombe tuvuke salama lkn usijitoe fahamu kwamba machafuko hayawezi kutokea.Kwani sisi ni nani labda.
Hili ni kama TV la chogo linapigwa rimoti tu