Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

Ikiwa kakumbukwa Adadi Rajabu kwann na Dr Mary Nagu asipewe maisha Tena? Tumeamua kwenda na wastaafu basi twende nao wote, tusibague. #Uzee_dawa#
Akumbukwe ili iweje?? Kwani anatija gani kwenye taifa hili? Kwani Yeye ndie msomi pekee kwenye hii nchi?? zama zake zimepita, waibuliwe na wengine. Merry Nagu Hana mchango wowote!!akalee wajukuu.
 
Huo mchango aliutoa bure? Si alilipwa? So what?
Kuna watu wamepewa dhamana kama alivyopewa yeye, wamekuwa wanufaika wa kodi za wananchi kwa miongo kadhaa na bado hawana lolote la kujivunia. Jaribu kumpa heshima yake kwa walau machache aliyoyafanya. TBL na sigara na makampuni mengine ni sehemu ya kazi kubwa alizozifanya
 
Alitimiza wajibu wake kama mtumishi na ndivyo inavyotakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…