Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

Ikiwa kakumbukwa Adadi Rajabu kwann na Dr Mary Nagu asipewe maisha Tena? Tumeamua kwenda na wastaafu basi twende nao wote, tusibague. #Uzee_dawa#
Naona kuna upepo unavuma wa kuwapigia chapuo wakina mama wastaafu: kuna mwingine huko anampigia chapuo Asha Rose Migiro awe KM wa ccm!!
It is high time people realized that there is life after serving in the public domain!
Hawa mabibi wanaona taabu sana kukaa na wajukuu zao?
 
Alimgeuka akahamia kwa Lowassa halafu akagombea UNEC Manyara ambao Sumaye alikuwa naye anagombea. Kwa msaada wa Lowassa Nagu akamshinda Sumaye. Tangia hapo uadui ukaanza.
Siasa ndio Iko hivyo. Katika siasa za ushindani, jina na cheo cha mtu sio daraja la kukuhakikishia lengo lako. Jiulize isingekuwa Lusinde kwenda kugombea Jimbo la Mtera 2010 kwa kuogopa jina na cheo pengine Mzee Malecela angekuwa bado mbunge wa jimbo hilo
 
Ikiwa kakumbukwa Adadi Rajabu kwann na Dr Mary Nagu asipewe maisha Tena? Tumeamua kwenda na wastaafu basi twende nao wote, tusibague. #Uzee_dawa#
Kwani nyie watoto na wajukuu wake hamna koneksheni kama ya January na Riziwani ?
 
Back
Top Bottom