Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

Wataalamu wanasimamiwa na nani??? Na je mwisho wa siku anayeamua ni nani??? Kimsingi issue kama ya TASAF ni wazo aliloliasisi yeye mwenyewe na kumuomba kiongozi wa benki ya Dunia asaidie na liwe chini ya ofisi ya Rais. Hii ni baada ya kuwa ameona Malawi wameamzisha MASAF
TASAF imeleta mabadiliko gani kwa umaskini wa nchi hii??
 
TASAF imeleta mabadiliko gani kwa umaskini wa nchi hii

TASAF imeleta mabadiliko gani kwa umaskini wa nchi hii??
Mkuu Yoda, kamwe ni vigumu kuizungumzia njia ambayo hujawahi kupita. Kuna watu wengi wamesomeshwa na kulelewa na TASAF. Leo hii kuna watu wanamiliki mifugo kama mbuzi na wanaendesha maisha yao kwa sababu ya TASAF. Je ni kweli TASAF haijafanya kitu kwa wananchi wa kaya masikini???
 
Alimgeuka akahamia kwa Lowassa halafu akagombea UNEC Manyara ambao Sumaye alikuwa naye anagombea. Kwa msaada wa Lowassa Nagu akamshinda Sumaye. Tangia hapo uadui ukaanza.
Ukiachana na maslah ya kisiasa kama ambavyo mtu yoyote yule angefanya hivyo ila wanawake ni viumbe wa kuwa nao macho sana. Haijalishi utamfanyia fadhila kias gani ila one mistake a thousands goals. Sekunde tu anakuchenjia kama sio yule
 
Back
Top Bottom