Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

Sema yule mama alikua amekaa utamu sana..Dooh JK alikua alikua anakula vitam sana
Huyu mkwere mbona mna msingizia mambo Mengi sana!
Kwa wale wanaomjua ukware wake watakuambia yule alikuwa sio type yake!
Type ya Vaso Dagama ni kama yule mama wa kipare alimzawadia ubalozi South Africa enzi ya swahiba wake Zuma!
 
Huyu mkwere mbona mna msingizia mambo Mengi sana!
Kwa wale wanaomjua ukware wake watakuambia yule alikuwa sio type yake!
Type ya Vaso Dagama ni kama yule mama wa kipare alimzawadia ubalozi South Africa enzi ya swahiba wake Zuma!
 
Sijui alosema wajumbe na wenyeviti wa bodi lazima wawe wazee ni nani?

Tunataka Vijana wenye maono mapya .

Utarabu wa uteuzi hautoi fursa Sawa na uwajibikaji.
There is no CORRELLETION between performance and AGE! Berkshire Hathaway ni kampuni huko marekani inayoongozwa na wazee wa miaka Zaidi ya 90 na hata hivyo is one of the most profitable investment vehicles!
Umewahihi kuwasikia Warren Buffet na Charlie Munger [ unfortunately, Charlie passed away recently at 99 yrs!]
 
Mchango anao tena mkubwa sana. TASAF unayoiona leo ni matokeo ya kazi na ubunifu wake. Kuhusu kuibuliwa wengine hii sasa ndio hoja ya msingi ya serikali kuifanyia kazi.
Siyo kweli. TASAF siyo kazi ya Mary Nagu. TASAF ni project ya World Bank inayosapoti kaya maskini. Ni Bakili Muluzi ndiyo alimpa "assist" Ben Mkapa mwaka 1998 baada ya Mkapa kumsaidia Bakili Muluzi kwenye kampeni za mwaka huo ambapo Bendi ya TOT iliweka kambi ya miezi 3 kule chini ya John Komba.

Kwa kuwa Malawi ilikuwa tayari ni mnuafaika wa Social Action Fund (MASAF), hivyo Muluzi akamtambulisha Mkapa kwa WB na Tanzania nayo ika join. Hakuna chichote alichofanya Mary Nagu kama Waziri wa sekta husika miaka hiyo.
 
Mkuu Yoda, kamwe ni vigumu kuizungumzia njia ambayo hujawahi kupita. Kuna watu wengi wamesomeshwa na kulelewa na TASAF. Leo hii kuna watu wanamiliki mifugo kama mbuzi na wanaendesha maisha yao kwa sababu ya TASAF. Je ni kweli TASAF haijafanya kitu kwa wananchi wa kaya masikini???
TASAF hii hii inayowaacha masikini wa kweli na kusajili watu wenye uwezo au?
 
Uenyekiti wa bodi ni nafasi za wazee waliochemsha katika utumishi wa umma ili wasiadhirike mitaani.
 
Back
Top Bottom