TANZIA Dkt. Mechris Mango aliyekuwa Daktari Bingwa na Meneja wa Idara ya Radiolojia MOI, afariki dunia

TANZIA Dkt. Mechris Mango aliyekuwa Daktari Bingwa na Meneja wa Idara ya Radiolojia MOI, afariki dunia

Bad News.
Doctor also died ? Mungu apewe Heshima na Utukufu
even kings queens and presidensts dies as well , lakini kuna wanaoua wenzao sasahivi kisa kutofautiana mitizamo, mawazo,itikadi etc, tunahitaji Mungu aingilie kati kuliko kipindi kingine chochote.
 
Hongera yake hawezi tena kuona "utumbo" unaoendelea kutukia kila kukicha....
 
Pumzika kwa amani Dr Mango!

Umefanya sehemu yako...wagonjwa wamenufaika na taaluma yako ingawa kwa muda mfupi ila yote ni kazi ya Mungu.

R.I.E.P.
Hakuwa na makuu. Pumzika kwa amani Mechris.
 
Back
Top Bottom