Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,527
- 6,306
even kings queens and presidensts dies as well , lakini kuna wanaoua wenzao sasahivi kisa kutofautiana mitizamo, mawazo,itikadi etc, tunahitaji Mungu aingilie kati kuliko kipindi kingine chochote.Bad News.
Doctor also died ? Mungu apewe Heshima na Utukufu
Bad News.
Doctor also died ? Mungu apewe Heshima na Utukufu
HayabanaUnashangaa Daktari kufa ila hushangai Mungu (Yesu) alikufa Ila akafufuka
Tusubiri ataufuka? Mwenzio ameweka kama tafakuri.....Unashangaa Daktari kufa ila hushangai Mungu (Yesu) alikufa Ila akafufuka
Hakuwa na makuu. Pumzika kwa amani Mechris.Pumzika kwa amani Dr Mango!
Umefanya sehemu yako...wagonjwa wamenufaika na taaluma yako ingawa kwa muda mfupi ila yote ni kazi ya Mungu.
R.I.E.P.