PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mleta post naona katupiga kamba eti"lilikuwa bifu zito pesa ikashinda"Mkuu Mengi hakumchukua Jacky kwa Kinje, Mengi amemchukua Jacky akiwa hana bwana wa maana, alikuwa anajizungusha pale Kilimanjaro hotel, bi dada kutwa na maifile anakaa anajifanya yuko busy kumbe alikuwa anadanga, kama zile file zilikuwa na maandishi itakuwa ni mistari ya bongo fleva tu.. Kinje aliporwa na mzungu, mzungu akamla akaenda kumuacha south Africa , wakarudi na shoga ake WAPOLE..
Hakuna kitu kama hicho, Kinje alisha ibiwa, lakini Jacky alivyorudi alijipitisha akifikiri kinje angemrudia ila wapi, Mzungu sijui alikuwa ana push nini huko South na TZ, ila waliahidiwa kuwa wanaolewa wanaenda nchi za ulaya huko shoga ake mpaka akajibebesha mimba lakini aliachwa na mimba, akajipatia mtoto handsom balaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mleta post naona katupiga kamba eti"lilikuwa bifu zito pesa ikashinda"
Unajua chochote kuhusu huyo Mzungu mbulugaria na project alizokuwa anawafanyisha wadada wa mjini huko bondeni?
Shoga yake yupi Irene?na je hiyo mimba alipewa na huyo huyo mbulugaria?Hakuna kitu kama hicho, Kinje alisha ibiwa, lakini Jacky alivyorudi alijipitisha akifikiri kinje angemrudia ila wapi, Mzungu sijui alikuwa ana push nini huko South na TZ, ila waliahidiwa kuwa wanaolewa wanaenda nchi za ulaya huko shoga ake mpaka akajibebesha mimba lakini aliachwa na mimba, akajipatia mtoto handsom balaa.
Ndy
Si fi---ir
Namkumbka
Ova
Huyo huyo alipewa na mzungu sijuindio wa bulgaria au, ila ni rafiki na yule wa Jacky, na walikuwa wanafanya wote biashara, wadada waliachwa hotel yaani waliachwa na nauli tu hata hela ya kuanzia maisha hakuna, Irene kwao walimtimua akapewa hifadhi na mama mmoja rafiki hadi akajifungua.Shoga yake yupi Irene?na je hiyo mimba alipewa na huyo huyo mbulugaria?
Duh!!!kumbe wamepambana na kupitia mengi hawa mabinti hivi Irene ana elimu gani huwa namwona ni binti flani makini?Huyo huyo alipewa na mzungu sijuindio wa bulgaria au, ila ni rafiki na yule wa Jacky, na walikuwa wanafanya wote biashara, wadada waliachwa hotel yaani waliachwa na nauli tu hata hela ya kuanzia maisha hakuna, Irene kwao walimtimua akapewa hifadhi na mama mmoja rafiki hadi akajifungua.
Irene yuko makini kutakmaisha ya juu, sasa hivi katulia kwa sababu amepata bwana mwenye hela ya ufusadi wa baba ake, wale hawataki maisha ya kupima mkaa kwa Dula, wala kwenda gengeni kwa mama Juma mkuu, Irene nadhani kapita mlimani chuo.Duh!!!kumbe wamepambana na kupitia mengi hawa mabinti hivi Irene ana elimu gani huwa namwona ni binti flani makini?
Baby wako nina kichwa kzito. Nimeshindwa kufungua ile code.Nilichogundua hata tukimtajia jina lote atauliza tena ndio nani
Unayajuaje yote haya
Ahsante umemaliza utata hata Mimi nilichelea kusema nilijua labda sijui kituMkuu Mengi hakumchukua Jacky kwa Kinje, Mengi amemchukua Jacky akiwa hana bwana wa maana, alikuwa anajizungusha pale Kilimanjaro hotel, bi dada kutwa na maifile anakaa anajifanya yuko busy kumbe alikuwa anadanga, kama zile file zilikuwa na maandishi itakuwa ni mistari ya bongo fleva tu.. Kinje aliporwa na mzungu, mzungu akamla akaenda kumuacha south Africa , wakarudi na shoga ake WAPOLE..
Mnyika huyu huyu wa Kibamba ?Ndo watu wanalijua mama. Kama Jojo watu hawajuagi kama Jo nyingine ni ya Mnyika
Silvia BahameKuna mmoja jina limenitoka kabisa, alikuwa 2003 au 2004, alikuwa mweupe halafu mnene, sijawahi kumsikia baada ya hapo.
Nilikuwa namwona chuo miaka hiyo, ila baada ya kumaliza sikumsikia tena.
Ni either before au after Happiness Magesa.
Utakuwa msaada sana huko mbeleniF I ni fideline iranga.
acha wajisumbue kuandika kwa kwa code....mimi kazi yangu itakuwa ni ku-decode kila neno.
wasidhani ni wao tu ndio maboni town kitambo. sisi wengine ni maboni town hasa ila tumetulia tuli tunawachora.
KiKi = Kinje & Kisa
JoJo = Jokate & John (Mnyika).
Kwamba hata madam Jack nae ashawahi kuwa mdangaji ?Mkuu Mengi hakumchukua Jacky kwa Kinje, Mengi amemchukua Jacky akiwa hana bwana wa maana, alikuwa anajizungusha pale Kilimanjaro hotel, bi dada kutwa na maifile anakaa anajifanya yuko busy kumbe alikuwa anadanga, kama zile file zilikuwa na maandishi itakuwa ni mistari ya bongo fleva tu.. Kinje aliporwa na mzungu, mzungu akamla akaenda kumuacha south Africa , wakarudi na shoga ake WAPOLE..
Haaaa! sanaaaaa, amedanga mbaya, kuna muda baada ya kuachwa na mzungu alipigika balaa, we unafikri madam mpaka kufanya kolabo na Mr. Blue mchezo..Kwamba hata madam Jack nae ashawahi kuwa mdangaji ?
Mnyika huyu huyu wa Kibamba ?
Daaaaa huwa nawaza nyakati zile baisa anachezea lile cota la jack.Haaaa! sanaaaaa, amedanga mbaya, kuna muda baada ya kuachwa na mzungu alipigika balaa, we unafikri madam mpaka kufanya kolabo na Mr. Blue mchezo..
wapo wengi mkuu, tena la hawa watoto ambao baba zao walikuwa serikalini, na kwenye mashirika ya uma wamekula bata mbaya, enzi hizo osterbay, watoto nao walikuwa wazuri balaa mpaka unashangaa, siku hizi sijui kwa nini wazuri ni wa ushwahilini? Mabadiliko ya tabia nchi..Awamu ya kwanza binti na mabraza men wa kishua ndio kina kinje, wamekula sana bata..Hivi kuna mtu amekula bata awamu ya kwanza?