Write your reply...Hivi yule Monifinance na Jose Mara ndoa ilivunjika nini? Naona kila mtu kivyake.
Sory dada.et kati hao wawili watato wa mzee mengi nani mkubwa hapo kati huyo wa kike na wakiume ?Yeah, hata Ray alishawahi kuigiza nae
Sory dada.et kati hao wawili watato wa mzee mengi nani mkubwa hapo kati huyo wa kike na wakiume ?Haikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda..
Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..
Mengi alikuwa ana ofisi yake maalum ya kufanya mikutano na vijana waliokuwa wakihitaji 'kusapotiwa'. Wengi walipata msaada wake. Nilicheka nilivyosikia Jacky anasema walikutana kwenye ndege! Hassanali anajua zaidi..
Msimu huo ulikuwa ni vita pia kwa wadada wa mjini.. Wenyewe waliita mawindo.. Kila mmoja alitaka kupata a finer catch..
Zile nyimbo za K-Lyinn mostly zilimhusu Kinje na madongo kwa mashosti zake... Mambo ya kuporana wanaume..
Pale Makumbusho jirani na eagle wing kuna members only club.. MPs, Ministers, CEOs, Moguls, Dons na Diplomats wanaenda kurefresh.. VIPs only.. PIMPs wa enzi hizo wanajua zaidi... Da' Mange naye kachezea sana mikasi pale.. Niishie hapo. Sitaki kuharibu swaum za watu!
Bifu la Kinje na Mengi halikuwa la kibiashara!
I have no ideaSory dada.et kati hao wawili watato wa mzee mengi nani mkubwa hapo kati huyo wa kike na wakiume ?
Sory dada.et kati hao wawili watato wa mzee mengi nani mkubwa hapo kati huyo wa kike na wakiume ?Kinje hakua ametulia na Kiki Zimba pia alikua kwenye list
Wa kike ndiye mkubwaSory dada.et kati hao wawili watato wa mzee mengi nani mkubwa hapo kati huyo wa kike na wakiume ?
Haya maneno makali ni wivu uliojificha nini?Jack aliona amfuate Mengi mwenye pesa zake,sio Kinje mwenye kutegemea za mzee Kingunge. Kije arudie sasa koloni lake.
Nilikuwa najua jamaa ndo wa 1970s kumbe wa 1980s.shukranWa kike ndiye mkubwa
Sio Viagra? Kama wanavyo sema magazeti ya njee na Mange KimambiMzee Mengi kumbe kafa kwa Mengi tu....wanawake sio Wa kushindana nao.
Bhanaaaa siuseme tuuu fidelina irangaKuna wakati nilimuona amekwisha wala hapendezi tena, wanadai alikatwa utumbo ili akonde.
Katoa na mimba piaFA naye kapita kwa kidoti?
We umesahau Kuna kipindi gazeti la kiu lilianzishaga shindano la demu aliyeko sex akachukua ubingwa......na Domo lake liliomuka Kama andazi lililozidi hamiraPini??? Excuse me..
Akii walitishaWe umesahau Kuna kipindi gazeti la kiu lilianzishaga shindano la demu aliyeko sex akachukua ubingwa......na Domo lake liliomuka Kama andazi lililozidi hamira
Duh!!!!kumbe naye ni mwenzake na sepenga kwa kuchoropoa kuna kipindi kulikuwa na tetesi kuna binti alichoropoa kibendi cha huyu kijana anajiita simba hivi alikuwa ni huyu?Katoa na mimba pia
Ndo alitoa mimba ya mondiDuh!!!!kumbe naye ni mwenzake na sepenga kwa kuchoropoa kuna kipindi kulikuwa na tetesi kuna binti alichoropoa kibendi cha huyu kijana anajiita simba hivi alikuwa ni huyu?
Kwan hata sasa wanaongea?Ndio sababu Nancy na ndugu yake Nakaaya walikuwa hawaongei?,kumbe sababu ni hio...