Dkt. Mfisi: Bangi inatumika zaidi Tanzania

Dkt. Mfisi: Bangi inatumika zaidi Tanzania

Kwenye Bangi kemikali inayoleta Uchizi ni THC ni kuagiza mbegu ambayi imefanyiwa Modification na kutolewa hiyo THC.
Sahihi mkuu kuna mbegu wamemodify ina CBD pekee ambaye ndiyo content inayotumika kwenye kusindika madawa na ina faida nyingi kiafya.
 
Sasa hiyo ndio iruhusiwe kutumiwa na Serikali yetu ipate mapato.
Nadhani ni kazi ndogo tu kuipitisha hiyo, ingawa kwa nchi yetu nadhani bado wamelala, na hawatachangamkia fursa hii kwa wakati. Tungekuwa na wataalamu wa kutosha wangeweza kuongeza motisha wa kuhalalisha kilimo na kutafuta masoko kwenye nchi zilizoendelea.
 
Viongozi wa Dini wataliingilia lakini wapewe Darasa kwa upole tu kwamba ni Mbegu salama.
 
bc4b8bbe90c30f291ab79d5418b3003a.jpg
 
Viongozi wa Dini wataliingilia lakini wapewe Darasa kwa upole tu kwamba ni Mbegu salama.
Kweli mkuu umeona mbali, kimaadili wanaweza leta changamoto, ingawa vyombo vya habari vitasaidia kutoa elimu.
Vilevile kwa hapa nchini kwetu ingesaidia sana kwa watu wenye kansa kupunguza maumivu, kwa wenye presha na pumu maana yenye CBD haina kilevi kabisa, inaweza kuvutwa na ikafanya kazi vizuri zaidi.
 
Kuna Mafuta ya Bangi kuna Biskuti za Bangi kuna Chai ya Bangi.

Halafu Ardhi yetu Bangi inakubali sana.

Bangi inatibu hata maumivu ya Tozo
 
Kuna Mafuta ya Bangi kuna Biskuti za Bangi kuna Chai ya Bangi.
Huu mmea umebarikiwa sana, yaani unaweza kuconsume kwa njia nyingi sana.
Halafu Ardhi yetu Bangi inakubali sana.
Wakulima wa bangi wanasema bangi haipendi mvua nyingi kwa hiyo maeneo mengi Tanzania kuna mvua za wastani kwa hiyo mmea unastawi vizuri zaidi.
Bangi inatibu hata maumivu ya Tozo
Hahaha!! Hakika mkuu, stimu la wida linasahaulisha madhila ya dunia mzee.
 
mwigu angekua mjanja angefosi mjani uruhusiwe alafu uuzwe kama sigara kwenye pakti ila tozo iwepo tena kali alaf serikali isimamie wauzaji wote wawe na vibali na walipe kodi mbona hela wangeiona. ila wakisharuhusu waache mambo ya kipumbavu maana tutawapiga makofi hadharani
 
Pale Masaki kuna chemba nlikutaga ile grade A yenyewe. Walikuwa na strain ya Skunk na Paradise OG toka Afghanistan (I chose to believe so). Wazee, ile kitu ni classy. Moshi mwepesi, smell safi sana na bei mkasi pia. Maana stick 2 za paradise ni kama 30k. Skunk ndo inacheza around 10k.
 
snoop-dogg-weed.gif

Bashe kama unatusikia, Herb pia imo kwenye mapinduzi ya kijani.
 
Back
Top Bottom