Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Sahihi mkuu kuna mbegu wamemodify ina CBD pekee ambaye ndiyo content inayotumika kwenye kusindika madawa na ina faida nyingi kiafya.Kwenye Bangi kemikali inayoleta Uchizi ni THC ni kuagiza mbegu ambayi imefanyiwa Modification na kutolewa hiyo THC.
Sahihi pia mkuuHatuwezi ilaumu bangi KWA mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu.
Sasa hiyo Mbegu ndio iruhusiwe kutumiwa na Serikali yetu ipate mapato.Sahihi mkuu kuna mbegu wamemodify ina CBD pekee ambaye ndiyo content inayotumika kwenye kusindika madawa na ina faida nyingi kiafya.
Nadhani ni kazi ndogo tu kuipitisha hiyo, ingawa kwa nchi yetu nadhani bado wamelala, na hawatachangamkia fursa hii kwa wakati. Tungekuwa na wataalamu wa kutosha wangeweza kuongeza motisha wa kuhalalisha kilimo na kutafuta masoko kwenye nchi zilizoendelea.Sasa hiyo ndio iruhusiwe kutumiwa na Serikali yetu ipate mapato.
Viongozi wa Dini wataliingilia lakini wapewe Darasa kwa upole tu kwamba ni Mbegu salama.Nadhani ni kazi ndogo tu kuipitisha hiyo, ingawa kwa nchi yetu nadhani bado wamelala, na hawatachangamkia fursa hii kwa wakati. Tungekuwa na wataalamu wa kutosha wangeweza kuongeza motisha wa kuhalalisha kilimo na kutafuta masoko kwenye nchi zilizoendelea.
Kweli mkuu umeona mbali, kimaadili wanaweza leta changamoto, ingawa vyombo vya habari vitasaidia kutoa elimu.Viongozi wa Dini wataliingilia lakini wapewe Darasa kwa upole tu kwamba ni Mbegu salama.
Kuna Mafuta ya Bangi kuna Biskuti za Bangi kuna Chai ya Bangi.Kweli mkuu umeona mbali, kimaadili wanaweza leta changamoto, ingawa vyombo vya habari vitasaidia kutoa elimu.
Vilevile kwa hapa nchini kwetu ingesaidia sana kwa watu wenye kansa kupunguza maumivu, kwa wenye presha na pumu maana yenye CBD haina kilevi kabisa, inaweza kuvutwa na ikafanya kazi vizuri zaidi.
Huu mmea umebarikiwa sana, yaani unaweza kuconsume kwa njia nyingi sana.Kuna Mafuta ya Bangi kuna Biskuti za Bangi kuna Chai ya Bangi.
Wakulima wa bangi wanasema bangi haipendi mvua nyingi kwa hiyo maeneo mengi Tanzania kuna mvua za wastani kwa hiyo mmea unastawi vizuri zaidi.Halafu Ardhi yetu Bangi inakubali sana.
Hahaha!! Hakika mkuu, stimu la wida linasahaulisha madhila ya dunia mzee.Bangi inatibu hata maumivu ya Tozo
Mm naona aitwe dk msimbaHuyu dakta mfisi apandishwe cheo....aitwe dakta mjusi kabisa.