Aliyewahi kuwa Mtangazaji Maarufu wa Radio One enzi hizo, Misanya Bingi anaumwa baada ya kupata na Stroke na kupelekea kulazwa katika Chumba cha uangalizi maalum Muhimbili.
Wadau Tumuombee.
Misanya Bingi (pichani)
=======
UPDATE:
Dkt. Misanya Bingi amefariki dunia. Msiba upo Makongo juu, Dar.
Aliwahi kuwa Mtangazaji wa Radio One kabla ya kuwa Mhadhiri wa UDSM
Amefariki katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi