TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

Pumzika kwa amani ndugu yetu mpendwa. Nakumbuka ulipokua Radio One ulimpokea Abdallah Idrisa Majura kile kipindi cha chemsha bongo kikinogeshwa na ile kengele ikiitwa kipusa. Pia uliwahi kuendesha kipindi cha chombeza time ukiwa na dada Rose Chitala enzi hizo akijiita RC Computer. Pia kipindi cha salaam uliwahi kukiongoza. Kifo chako kimenikumbusha mivumo ya bongo fleva ikiwa imenoga. Nakuombea amani kwa Mungu Baba, aamen.
 
Nmemkumbuka huyu mwamba
Nlipojiunga makongo Enzi za kipingu nlipataga soo nkaambiwa nimwite mzazi Nakumbuka tulimfata misanya Enzi hizo anaishi mwenge
Tukampeleka Maryland bar kumpanga ili aje shule a act kama mzazi... Kesho yke alikuja dah!

R. I. P misanya

Ova

manengelo
Mshana Jr
 
Mrangi mwezako

Kumbe long time kipingu pale,. Mungu ambariki huko aliko.
 
Back
Top Bottom