Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh huyo ndugu ana akili ya peke yakeNnakumbuka kipindi Marehemu anafanya kazi Radio One ilikuwa ni kipindi cha chaguo la msikilizaji kama nitakuwa sijakosea ulitokea msiba nnadhani wa mama yake mzazi kwao Dodoma ndugu zake ilikuwa wakimpigia simu yake haipatikani ili wamjulishe habari za msiba, ndugu yake alimpigia simu live kama msikilizaji anayetaka kuchagua muziki kumjulisha msiba wa mama yake hakuendelea na kipindi ulipigwa muziki mfulizo baadae marehemu Julius Nyaisanga ilibidi aendelee na kipindi na kutoa utaratibu mzuri wa kutoa taarifa ya msiba.
Mimi nakaa Counter na Ma-Dr na Profs ila sio mhudhuriaji kiviile Siku hiziKweli mkuu?
Namkumbukammh umemsahau mhudumu Happy yule mwenye nyaaaa ila sura hailipi, siku hizi alitimuliwa
Mimi nakaa Counter na Ma-Dr na Profs ila sio mhudhuriaji kiviile Siku hizi
Counter mmoja Bonge hiviiNani huwa anakuhudumia pale sasa hivi au Scola?
Ameeeen..Mnakaribishwa kumsindikiza mwenzetu wakuu!
Kwa wakati wake radio one ilikuwa zaidi ya clouds sasa hivi.Augue pole...Jamaa kumbe radio one tu ndio ametangaza na ndio pamempa umaruufu?..
Au ni yule anapenda kuvaa pensi na kofia?Haaahaaa...koku[emoji23] [emoji23] mdada ana kifua kikubwa hivi!
Nikikutajia hapa na the way navyoingiaga pale lazima utanijua na wewe lazima nakujua!
Kuna kagroup ka wanaume mko wengi mnapenda kukaa pale kwenye mwanvuli karibia na jikoni nahisi ndo nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu kuna mzee mmoja matata pale anapenda kukaa pale kwenye boats na laptop yake anakunywa wine ya altar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata stroke ni ghaflaGhafla kivipi wakati kaugua?? Ghafla ni kupata Ajali yoyote na kufa papo hapo.