TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

Jana nilishtuka sana kuambiwa nduguyangu na kakayangu, Muhenga mwenzangu Dr Misanya Bingi ametutoka

Doh jaman mbona maarufu wanakufa sana mwaka huu?!

Kwa wasiomjua Dr Misanya BINGI alianza kazi ya kutangaza Radio One miaka ya 90... enzi hizo rediooooo ooooneeee steeerioooooo ndio akina Misanya wenyewe wananogesha!

R.I.P Kaka Dr Misanya Bingi, Safari Umeimaliza, Imani Umeilinda, Mwendo Umeupiga...Mavumbini Tuliumbw na Mavumini Tutarudi..Ame
IMG-20180916-WA0057.jpg
n
IMG-20180917-WA0160.jpg

IMG-20180917-WA0158.jpg
 
Maskini[emoji24] [emoji24] [emoji24] ....hii dunia very complicated sana!

Bora tujilie bata tu....what's the hell[emoji15] [emoji24]
Huko kwenye bata ndio kunapokupandisha "high speed train" ya kukupeleka six feet under.
 
Kweli ndugu. Hata mimi najiuliza swali hilo hilo. Kuna wengine tumepoteza wapendwa ambao siyo maarufu. Hata hawatangazwi kwenye vyombo vya habari.
Mkuu.watu wamekufa sana aisee inatisha, huu mwaka bora uise, misiba inapishana tu
 
Back
Top Bottom