Liko hivyo. Misanya Bingi.Hivi jina lake sahihi ni Misanya Bingi au Msa Nyabingi?
Kama sijakosea ni Misanya Dismas Bingi.Hivi jina lake sahihi ni Misanya Bingi au Msa Nyabingi?
Shukran mkuuKama sijakosea ni Misanya Dismas Bingi.
Akiwa na rose chitalaNamkumbuka kwa RnB za nguvu alizokuwa anapiga kwenye vipindi vyake pale Radio One stereo!!
bila shaka ni Mwanza Mwanz hiyoKuna wimbo flani wa Fid Q anamtaja huyu Bingi, kuna mwenye picha yake,
Get well