Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Mahakama zipo km nikweli na aenda mahakamani na siyo porojo ''He is going to be a witness number one''
 
Baada ya kumsikiliza Lisu akiongea na watanzania huko Marekani jana, nimejiridhisha na mambo yafuatayo
1. Anamjua kwa jina mtu aliyeamuru auwawe
2. Anajua watu waliokaa na kupanga mauaji
3. Ndani ya system wapo watu wanaompa Lisu taarifa zote nyeti
4. Kuna watu wengi watapata taabu sana baada ya Lisu kuongea
5. Mataifa ya nje wanaujua ukweli wote
6. Kwenda Ubelijiji ilikuwa ni zaidi ya kwenda hospitalini, kumbuka Balozi za EU zipo Ubelijiji, ICC ipo Ubelijiji, Lisu anaukaribu na maofisa wakuu wa EU na
7. Itakuwa rahisi sana kwa Lisu kufungua kesi ICC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishakuwa CCM hata uwe na Phd, lazima uwezo wako wa kufikiri uathirike.
 
Natamani nikujibu kwa heshima sabbu ya huo utambulisho wako humu jukwaani. "Mzee"

Bila shaka utakuwa unamili moja kati ya account za udaku za instagram.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is a bunge walivyo hata hoja ya kuombwa athibitishe haikupita wewe spika bunge hutalimaliza kabla ya karma kukufika mark1my words
 
Ndiyo maana ameamua awe shoga kabisa, akae hukohuko na ushoga wake wazungu wanajitafunia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Lissu anapigwa risasi, huyu Dkt alikuwa Chadema, hivyo basi yeye alikuwa amehusika katika kutekeleza mpango wa kutaka kumuua Lissu. Naye ahusishwe na hao anaowajua walishiriki ktk tendo hilo.
 
Huu upumbavu pelekeni kwa washamba wa chato na kolomije lakini kwa watanzania wenyr Akili timamu hawezi kukaa kutaka kusikia maneno ya kijinga jinga kama hayo ya huyo fala anayejiita Dr mollel kwanza vyeti vyake vichunguzwe atakuwa na vyeti feki maana Akili yake ni ndogo kuliko ya kibajaji na musukuma, swali kwake Dr kilaza mollel je? Zile cctv camera walizing’oa chadema? Je? Walinzi wa Getini walitolewa na chadema? na chadema ndiyo walizuia kuhojiwa kwa majirani wote eneo la Tukio?
 
Kwa hiyo sasa mmenza kukiri hadharani ya kwamba "Mtu yoyote anayekubali kununuliwa lazima awe na upunguani fulani"!!!????
Natumaini hii itakuwa inamhusu Mwenyekiti wenu Ayatollah Mbowe alivyokubali kununuliwa na kukiuza Chama kwa Laigwanan! Mnasikitisha mpaka mnatia kinyaa wallah! Ptuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…