Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

akawaripoti kwa Siro wakamatwe upesi!!

#mollelkimeo
Akienda huko aambatane na cctv zote na walinzi wa Getini pia ajiandae kisakolojia na ajibu swali kama ni chadema ilikuaje mpaka Serikali dhalimu ilipiga marufuku kuvaa T-shirt za Tundu Lisu? iweje kuzuia sala na dua mbalimbali ikiwemo Alibadiri?
 
Mkuu chadema ni nchi gani? Hivi Dodoma ni makao makuu ya nchi inaitwa Chadema? Kama ni kweli chadema ndo walipanga kumuua lissu then wakammiminia risasi 38 na serikali yetu haikuchukua hatua yoyote basi hatuna serikali.
 
Acha utahira wako chama hakikuuzwa bali ni propaganda za kishamba toka CCM wakazikariri wale wajinga wajinga kama nyie, lakini wenye Akili wanajua Lowasa alikuwa vizuri na chama chochote kingempokea pasipo kudai chochote, watesi nyie mpo busy kutengeneza mazingira ya kishamba shamba kuwahadaa watanzania pasipo kujua kuwa wananchi wa sasa si wale wa zamani ambao walidanganywa ki rahisi na kukubali Uongo wa CCM.
 
Moleli ana ushahidi kwa nini polisi wasianze na molel,ujinga mwingine. Unaudhi sana MTU kaumia na maisha yake kuharibika ww kwa tamaa zako unaleta ujinga ambao hata chekechea can't buy.
Tatizo kubwa huko CCM ni njaa na kiwewe kwa watesi wa Tundu Lisu wanaweweseka mpaka wamejitoa fahamu zote wanafanya propaganda za kishamba kipumbavu mno ni aibu kubwa kwa chama kama CCM kuwa na Dr feki kama mollel kisha anakuja na upumbavu kama huo na wapo mbumbumbu wachache watausadiki maana Nchi hii bado wapo wanaoishi kwa zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM pekee.
 
Uongo mwingine buana! Mbona kwahiyo huyo jamaa eti Dkt sijui nani Molel Ndiye amechukuwa nafasi ya Police Tanzanian ????

Na kama alikuwepo wakati wa huo mpango kwanini hakuonyesha ushirikiano mwanzoni mpaka kuelekea miaka miwili sasa ndipo anasema??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moleli bwana,siku zote hizi mbona hakuwaambia polisi
Mollel angekuwa Nchi zingine zenye kufuata katiba na sheria mda huu angekuwa yupo jela, lakini kwa kuwa yupo Tanzania Nchi ya kufuata sheria binafsi za Bashite na Jiwe hakuna wa kumsogelea ataongea ufala wote na CCM watampigia makofi na kumsifia sana.
 
Huyu bwana ikiwa serikali ina nia ya dhati inaweza kumkamata mtuhumiwa kwa kuanza naye. Ila ikiwa haina nia hiyo itamwacha dr mollel msaliti aendelee kufanya propaganda kwenye mambo yanayogusa usalama wa raia
 
Wanaojiita DR huko CCM wote ni DR feki kichwani hawana Taaluma yeyote waliiba mitihani na kununua vyeti chunguza Kauli zao ni za kijinga jinga kuliko hata wale wabunge wao mbumbumbu akina kibajaji na musukuma. Achunguzwe vyeti vyake maana umbulula umemzidi
 
Hapa ndipo serikali inapopakwa matope na wanasiasa kwa kujinufaisha kisiasa. Kuwa na viongozi wanaopenda sifa za kisiasa ni maumivu kwa taifa lolote.
 
Huyu bwana ikiwa serikali ina nia ya dhati inaweza kumkamata mtuhumiwa kwa kuanza naye. Ila ikiwa haina nia hiyo itamwacha dr mollel msaliti aendelee kufanya propaganda kwenye mambo yanayogusa usalama wa raia
Huyo ni Dr zero hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 ni vigumu Nchi kupiga hatua kimaendeleo endapo tutaendelea kuwaendeleza Vilaza mbumbumbu kama Mollel.
 
Unaweza ukapata cheo au teuzi kwa kuikosoa au kuitukana chadema kama alivo Mkurya wa dar.Je angekufa plan b ingekuwepo?basi jeshi ni dhaifu kama chadema wanafikia hadi kuondoa walinzi getini na kuwahamisha baada ya tukio.na kurudi kuondoa CCTV ni hatari
 
Huyo ni Dr zero hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 ni vigumu Nchi kupiga hatua kimaendeleo endapo tutaendelea kuwaendeleza Vilaza mbumbumbu kama Mollel.
Baadae unawasikia wanakuja na visingizio vya kijinga jinga kuwa Tundu Lisu analichafua Taifa? Wakati wao CCM ndiyo wanalichafua Taifa kwa kuendekeza Dr vilaza wajinga jinga kama huyo mollel na kulea mbinu za kishetani za Bashite kuwapiga Risasi Wapinzani.
 
Mushirikishe MUNGU akupe busara , hauta kuwa na kinywa cha Mafalisayo walio muua Yesu Mnazaleti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikundi cha watesi wa CCM huwa hakiwazi kuwa kuna watanzania wenye Akili kuliko wao, wanachowaza ni kula pesa za umma kisha kufanya ushetani wao pasipo kutafakari kwanza baadae wakishitukia huanza propaganda za kipumbavu kama hizo za Dr feki mollel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…