Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkuu leo Ni February 6 Na sio January 6 kwanini huwa mnakimbilia Kuanzisha Nyuzi bila kuhakiki?Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 6, leo Januari 6, 2024.
Hawa wajinga waache utani, 300B ni nini kwenye 40T?Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 6, leo Januari 6, 2024.
Gharama ya kutibu wagonjwa wa sukari kwa mwaka ni TZS bilioni 300, na gharama za kutibu wagonjwa wote wa tezi dume ni TZS bilioni 46.42, hivyo kupelekea jumla ya gharama za matibabu kwa magonjwa haya mawili tu kufikia TZS bilioni 346.42, wakati bajeti ya dawa na vifaa tiba kwa mwaka ni TZS bilioni 200.
Hivyo, ikitokea huduma ya matibabu kwa magonjwa haya mawili kutolewa bure itapelekea huduma nyingine katika nchi kusimama.” – Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya
Shangaa na wewe mimi leo nimelipia elfu 60 kwa bima dawa ya sukari( Gemer 2)Pesa zote hizo.
Huyu chawa mimi huwa simuamini kabisaFuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 6, leo Januari 6, 2024.
Gharama ya kutibu wagonjwa wa sukari kwa mwaka ni TZS bilioni 300, na gharama za kutibu wagonjwa wote wa tezi dume ni TZS bilioni 46.42, hivyo kupelekea jumla ya gharama za matibabu kwa magonjwa haya mawili tu kufikia TZS bilioni 346.42, wakati bajeti ya dawa na vifaa tiba kwa mwaka ni TZS bilioni 200.
Hivyo, ikitokea huduma ya matibabu kwa magonjwa haya mawili kutolewa bure itapelekea huduma nyingine katika nchi kusimama.” – Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya
Kwani kuna watu wanatibiwa bure !Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 6, leo Januari 6, 2024.