#COVID19 Dkt.Mollel: Msiogope maneno ya Mtandaoni kuhusu Chanjo. Wataondoka na goli 0

#COVID19 Dkt.Mollel: Msiogope maneno ya Mtandaoni kuhusu Chanjo. Wataondoka na goli 0

Suala la gwajima kuwepa kutumia kiti na mic hata Yesu kuna wakati alichoropoka katikati ya waliokuwa wamemzonga wampige mawe
 
Cheti cha chanjo napataje?
Nyie wizara munijibu sio kutuchanja tu,
Wengine tunataka kusafiri
 
Asijisahaulishe kwamba alituhubiria sana kuhusu nyungu na wakajenga pale Muhimbili.
Tunakumbuka bado
 
Back
Top Bottom