Dkt. Mpango: Aliyetoweka na kufanyiwa matanga hatimaye alipatikana mbaroni Polisi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hii nchi ni ngumu sana.

Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola.

Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo:

Screenshot_20230131-141646.jpg

Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marafiki zetu hawa wangali hai.

Yawezekana pia, siku moja tukafanikiwa kuwafahamu na hata kuwawajibisha majahiri wetu wasiokuwa na chembe ya utu.

Malipo ni hapa hapa duniani.

Mwananchi
 
Hii nchi ni ngumu sana.

Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola.

Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo:

View attachment 2501300

Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marifiki zetu hawa wangali hai.

Yawezekana pia, siku moja tukafanikiwa kuwafahamu na hata kuwawajibisha majahiri wetu wasiokuwa na chembe ya utu.

Ikizingatiwa, malipo ni hapa hapa duniani.

Mwananchi
Ila huyu Magufuli aliharibu sana misingi ya utawala bora katika Taifa hili,bora hata alivyotangulia mbele ya haki
 
Hii nchi ni ngumu sana.

Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola.

Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo:

View attachment 2501300

Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marifiki zetu hawa wangali hai.

Yawezekana pia, siku moja tukafanikiwa kuwafahamu na hata kuwawajibisha majahiri wetu wasiokuwa na chembe ya utu.

Ikizingatiwa, malipo ni hapa hapa duniani.

Mwananchi
Nipo nawe kwa hili kimaombezi mkuu, fikiria family ya Mr. Ben Saanane, family ya Mr.Azory na wengineo waliopotea kwenye mazingira tatanishi, ewe Mwenyezi Mungu wape nguvu wanafamilia hawa ili wapate closure kuhusu wapendwa wao, kiini cha upendo kipo ndani ya familia,nikifikiria watoto wao leo wamekula nini,je wameenda shule, je wanacheza na watoto majirani zao, au kilio kila siku huku wakiwa na matumaini kuwa baba will just walk in
 
Kupotelewa mtu kusikie mbali
 
Kwahiyo Kubenea alimuona Ben akisoma magazeti magereza?

Kwani huyo ni nani? Hawezi kuwa kipenyo mwingine tu kama wale wanaorudi nyumbani?

Ashukuriwe Dk. Mpango kwa kutupa matumaini. Wahanga wengi wanaweza kuwa wangalipo.
 
Sabaya amebambikiwa kesi tu na aliyepanga kumuuwa akachiwa huru licha ya kwamba mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu!.

Sabaya kwa mujibu wa mahakama yuko huru ila bado yuko gerezani kwa maelekezo ya viongozi wa serikali.

Rais Samia ukitaka kutenda haki tenda jumla jumla siyo nusunusu kwa Mbowe tu.

Siku akiingia rais mwingine Sabaya ataachiwa huru na atateuliwa nafasi ya uongozi mbele ya macho yako kwa sababu hana kosa lolote ila wauza madawa ya kulevya kwa kushirikiana na Dpp Kweka wamemtengenzea zengwe la kumkomoa.
 
Mbona Mpango hajasema wahusika wamechukuliwa hatua gani. Au naye analalamika kama sisi?

Nchi ni ngumu sana hii yenye kina Shabaya na kina konda boy madarakani. Hapo vigogo wote wahusika wakiwamo mawaziri wangali ofisini biashara kama kawaida.

Ole wetu sisi tusiokuwa na connections za kuyafikasha madhila yetu kuhusu dhuluma kama hizi kwa wenye meno.
 
Nipo nawe kwa hili kimaombezi mkuu, fikiria family ya Mr. Ben Saanane, family ya Mr.Azory na wengineo waliopotea kwenye mazingira tatanishi, ewe Mwenyezi Mungu wape nguvu wanafamilia hawa ili wapate closure kuhusu wapendwa wao, kiini cha upendo kipo ndani ya familia,nikifikiria watoto wao leo wamekula nini,je wameenda shule, je wanacheza na watoto majirani zao, au kilio kila siku huku wakiwa na matumaini kuwa baba will just walk in
Ndugu inatia machozi. Ukikaa ukiwaza inabidi umwachie Mungu lakini waliofanya hayo kama wako hai sijui wanawaza nini.
 
Huku mbona tayari kesha fungwa paka kengele. Au humwamini huyu mzito?

Ninakazia: Dk Mpango: Mfumo wa haki jinai una matatizo mengi

Itakuwa habari mbaya sana kwenye hii.
Mwanza. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Phillip Mpango amesema mfumo wa haki jinai nchini umegubikwa na malalamiko mengi kutokana na wananchi wengi kukosa haki zao kutoka taasisi na mamlaka za dola.
 
Tatizo nchi inaendeshwa kihuni huni tu, sasa kuna sheria kuwa TISS they have no arresting power!!na watanzania wengi hawajui hili, kumbuka ile road rage kati ya TISS official's na yule raia (clip ili trend sana)kumbe ile arresting was wrong ,ilikua ni ubabe ubabe tu, turudi kwenye wajibu wa kisheria ni police tu wenye arresting power
 
Back
Top Bottom