Kubenea alishasema
Ila huyu Magufuli aliharibu sana misingi ya utawala bora katika Taifa hili,bora hata alivyotangulia mbele ya hakiHii nchi ni ngumu sana.
Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola.
Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo:
View attachment 2501300
Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marifiki zetu hawa wangali hai.
Yawezekana pia, siku moja tukafanikiwa kuwafahamu na hata kuwawajibisha majahiri wetu wasiokuwa na chembe ya utu.
Ikizingatiwa, malipo ni hapa hapa duniani.
Mwananchi
Nipo nawe kwa hili kimaombezi mkuu, fikiria family ya Mr. Ben Saanane, family ya Mr.Azory na wengineo waliopotea kwenye mazingira tatanishi, ewe Mwenyezi Mungu wape nguvu wanafamilia hawa ili wapate closure kuhusu wapendwa wao, kiini cha upendo kipo ndani ya familia,nikifikiria watoto wao leo wamekula nini,je wameenda shule, je wanacheza na watoto majirani zao, au kilio kila siku huku wakiwa na matumaini kuwa baba will just walk inHii nchi ni ngumu sana.
Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola.
Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo:
View attachment 2501300
Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marifiki zetu hawa wangali hai.
Yawezekana pia, siku moja tukafanikiwa kuwafahamu na hata kuwawajibisha majahiri wetu wasiokuwa na chembe ya utu.
Ikizingatiwa, malipo ni hapa hapa duniani.
Mwananchi
Kwahiyo Kubenea alimuona Ben akisoma magazeti magereza?Huku mbona tayari kesha fungwa paka kengele. Au humwamini huyu mzito?
Ninakazia: Dk Mpango: Mfumo wa haki jinai una matatizo mengi
Itakuwa habari mbaya sana kwenye hii.
Nipo nawe kwa hili kimaombezi mkuu, fikiria family ya Mr. Ben Saanane, family ya Mr.Azory na wengineo waliopotea kwenye mazingira tatanishi, ewe Mwenyezi Mungu wape nguvu wanafamilia hawa ili wapate closure kuhusu wapendwa wao, kiini cha upendo kipo ndani ya familia,nikifikiria watoto wao leo wamekula nini,je wameenda shule, je wanacheza na watoto majirani zao, au kilio kila siku huku wakiwa na matumaini kuwa baba will just walk in
Kwahiyo Kubenea alimuona Ben akisoma magazeti magereza?
Kwahiyo hao ndugu hawakwenda polisi? na kama walikwenda kwanini polisi hawajawaambia kama ndugu yao yupo huko.
Mbona Mpango hajasema wahusika wamechukuliwa hatua gani. Au naye analalamika kama sisi?
Kumbe basi tudai katiba mpya kwani kuna mashaka na uhuru kamili wa mahakama kama mhimili?Ukweli halisi mdio huu!
Ndugu inatia machozi. Ukikaa ukiwaza inabidi umwachie Mungu lakini waliofanya hayo kama wako hai sijui wanawaza nini.Nipo nawe kwa hili kimaombezi mkuu, fikiria family ya Mr. Ben Saanane, family ya Mr.Azory na wengineo waliopotea kwenye mazingira tatanishi, ewe Mwenyezi Mungu wape nguvu wanafamilia hawa ili wapate closure kuhusu wapendwa wao, kiini cha upendo kipo ndani ya familia,nikifikiria watoto wao leo wamekula nini,je wameenda shule, je wanacheza na watoto majirani zao, au kilio kila siku huku wakiwa na matumaini kuwa baba will just walk in
Mwanza. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Phillip Mpango amesema mfumo wa haki jinai nchini umegubikwa na malalamiko mengi kutokana na wananchi wengi kukosa haki zao kutoka taasisi na mamlaka za dola.Huku mbona tayari kesha fungwa paka kengele. Au humwamini huyu mzito?
Ninakazia: Dk Mpango: Mfumo wa haki jinai una matatizo mengi
Itakuwa habari mbaya sana kwenye hii.
Huyo ni mmoja wa watuhumiwa kwenye Ile "task force" yenye dhuluma nyingi zikiwamo hizi poteza watu.Sabaya ataozea jela akitoka watu watamgombea kama mpira wa kona wamgawane,wacha apumzike tu hapo mjini Kisongo.