Hiyo maana yake polisi wanawaficha watuhumiwa, wanafanya hivyo kwa mamlaka yapi waliyonayo?
Hawa jamaa kila siku wanazidi kuonekana walivyo wavunja sheria namba moja, hawawezi kuwa watetezi wa wanyonge tena, wala kulinda mali za raia, hilo jeshi lifumuliwe kabisa.