Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Haya mambo hufanywa na nchi za kusadikika tuu.Wangejua vijijini Hali ya kilimo na mifugo ilivyo wasingefanya hayaHivi mkuu haya mambo yanafanyika na Nchi nyingine ?
Noma sana !Haya mambo hufanywa na nchi za kusadikika tuu.Wangejua vijijini Hali ya kilimo na mifugo ilivyo wasingefanya haya
Juzi tu kwenye ziara ya Bibie huko kusini watu walikuwa wakimlilia kuwa hakuna maji.Haya mambo hufanywa na nchi za kusadikika tuu.Wangejua vijijini Hali ya kilimo na mifugo ilivyo wasingefanya haya
Hao hao wakulima na wafugaji ndio waliotoa ridhaa,usiwasikitikie..Wangejua vijijini Hali ya kilimo na mifugo ilivyo wasingefanya haya
Hii mikataba walishaingia , hivyo lazima itekelezwe.Vipaombele kwa Africa ni zero kabisa, zilizoko biashara inasuasua wanaleta nyingine,
Wangeendeleza hata barabara ya mbezi chalize mpaka watakapofika,
Kuna mengi ya kufanya
Hawakutoa ridhaa mkuu,uchafuzi ulibakwaHao hao wakulima na wafugaji ndio waliotoa ridhaa,usiwasikitikie.
Na CorridorsMaji Na Umeme
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akipokea ndege ya Abiria, Boeing 737-Max 9, leo Oktoba 3, 2023.