PreGE2025 Dkt. Mpango: Hatutaki Uchaguzi wa vurugu, kuna mtu hajui anampigia Kura nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Mpango akiwa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania amewakumbusha Wanachama wa TAPSEA kuwa huu mwaka ni wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani na kuwaambia kuwa hana wasi wasi juu ya nani wanenda kumpigia Kura mwezi Oktoba.

Huyu angalau ni Kiongozi ambaye anautambua Utanganyika kwa mbaaaali....wengine akili zao ziko Kizimkazi
Kackip flani kanamchora,kijani ikifanya uchaguzi wa Haki,ijiandae kukabidhi Chamwino na Magogoni!
 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Mpango akiwa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania amewakumbusha Wanachama wa TAPSEA kuwa huu mwaka ni wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani na kuwaambia kuwa hana wasi wasi juu ya nani wanenda kumpigia Kura mwezi Oktoba.

Huyu mzee amelala wapi tatizo kura zenyewe hazihesabiwi ni Polisi na Usalama
 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Mpango akiwa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania amewakumbusha Wanachama wa TAPSEA kuwa huu mwaka ni wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani na kuwaambia kuwa hana wasi wasi juu ya nani wanenda kumpigia Kura mwezi Oktoba.

Huyu Mrundi anasemaje?
 
Back
Top Bottom