Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwa kinachoendelea hata Bibi yangu angefufuka Leo,angeigeuka kijani!Uzuri sijafungua video, ila naamini kaacha swali watu waamue
😅Kwa kinachoendelea hata Bibi yangu angefufuka Leo,angeigeuka kijani!
Vijana wao wanaweweseka tuu kina Bashite,Gumbu,Harakaharaka,nk!CCM ni chama cha kitapeli haswa
Mwashambwa na TlaahtlaahVijana wao wanaweweseka tuu kina Bashite,Gumbu,Harakaharaka,nk!
Kackip flani kanamchora,kijani ikifanya uchaguzi wa Haki,ijiandae kukabidhi Chamwino na Magogoni!Huyu angalau ni Kiongozi ambaye anautambua Utanganyika kwa mbaaaali....wengine akili zao ziko Kizimkazi
Alaa!! Si mlikuwa mnasema Makamu amehamua akae pembeni sababu eti akubariani na yanayoendelea.....hhhhahahaCCM ni chama cha kitapeli haswa
Kizimkazi sababu sio mgalatia mwenzio au sio?Huyu angalau ni Kiongozi ambaye anautambua Utanganyika kwa mbaaaali....wengine akili zao ziko Kizimkazi
Anaogopa kuzungushwa mafao ya kustaafu!Alaa!! Si mlikuwa mnasema Makamu amehamua akae pembeni sababu eti akubariani na yanayoendelea.....hhhhahaha
Nani kakudanganya!!? Huyo ni mtu wa serikali tangu yupo chuo kikuu.....unafahamu hayo!?Anaogopa kuzungushwa mafao ya kustaafu!
Huyu mzee amelala wapi tatizo kura zenyewe hazihesabiwi ni Polisi na UsalamaMakamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Mpango akiwa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania amewakumbusha Wanachama wa TAPSEA kuwa huu mwaka ni wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani na kuwaambia kuwa hana wasi wasi juu ya nani wanenda kumpigia Kura mwezi Oktoba.
Mimi MtanganyikaKizimkazi sababu sio mgalatia mwenzio au sio?
Huyu Mrundi anasemaje?Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Mpango akiwa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania amewakumbusha Wanachama wa TAPSEA kuwa huu mwaka ni wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani na kuwaambia kuwa hana wasi wasi juu ya nani wanenda kumpigia Kura mwezi Oktoba.
TuliaAlaa!! Si mlikuwa mnasema Makamu amehamua akae pembeni sababu eti akubariani na yanayoendelea.....hhhhahaha
Hatari snVijana wao wanaweweseka tuu kina Bashite,Gumbu,Harakaharaka,nk!