Dkt. Mpango: Kasi ya Rais Samia ni kama Mayele

Dkt. Mpango: Kasi ya Rais Samia ni kama Mayele

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Kudos Wadau..

Makamu wa Rais Dk Philip Mpango ameifananisha Kasi ya kutekelezwa Kwa miradi chini ya Rais Dk. Samia kama Fiston Mayele wa Yanga.

Dk.Mpando alikuwa akizungumza wakati wa kushuhudia kuiwa Saini Kwa Kipande Cha Sgr kutoka Tabora Hadi Isaka.

Aisha akiwa Shinyanga ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi w Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga..

Hongera sana Rais Samia maana sasa Sgr kutoka Dar Hadi Mwanza na Tabora Hadi Kigoma kote Kuna Wakandarasi..👇

Kudos Wadau..

Makamu wa Rais Dk Philipp Mpango ameifananisha Kasi ya kutekelezwa Kwa miradi chini ya Rais Dk.Samia kama Fiston Mayele wa Yanga..

Leo VP hajatrend kabisa,

Macho na masikio Yako Mwanza.

Kumekucha.
 
Kudos Wadau..

Makamu wa Rais Dk Philipp Mpango ameifananisha Kasi ya kutekelezwa Kwa miradi chini ya Rais Dk.Samia kama Fiston Mayele wa Yanga..

Dk.Mpando alikuwa akizungumza wakati wa kushuhudia kuiwa Saini Kwa Kipande Cha Sgr kutoka Tabora Hadi Isaka.

Aisha akiwa Shinyanga ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi w Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga..

Hongera sana Rais Samia maana sasa Sgr kutoka Dar Hadi Mwanza na Tabora Hadi Kigoma kote Kuna Wakandarasi..👇

Rais Samia Suluhu amejitahisi sana kuloeta maendeleo nchini miradi ya kimkakati inakamilika kwa kasi ya ajabu
 
Chini ya miaka 2 ,vipande vyote vya Sgr vina Wakandarasi,chezea Samia wewe?
Penye ukweli ni lazima usemwe. Hayo ya Rais Samia kuwa kama.Mayele, siyajui, maana pia sitaki kuwakera wapenzi wa Simba, halafu wakaijibu hoja bila weledi. Lakini kwa kweli kiutekelezaji, Rais Samia anatekeleza miradi mingi kwa weledi na kwa kasi. Anayafanya hayo kwa vitendo. Kitu pekee kinachompunguzia kasi ni mazingira mabaya aliyoyakuta: pesa za bure za MCC hazipo kutokana na mtangulizi wake kutozingatia haki na demomrasia. Pesa za msaada wa bure toka Jumuia ya Madola nazo hakuna kwa sababu ya mtangulizi wake kuvuruga uchaguzi wa 2020. Kama hizo pesa zote zingekuwepo, ongezea kodi zetu na mikopo, mambo yangepaa.

Aliyeanzisha miradi hiyo alifanya kwa pupa akakosa weledi wa kuikamilisha. Miradi hiyo mikubwa ikawa kichocheo cha kukiuka haki za watu. Kwa miradi kama SGR, maono na uthubutu yalikuwa mambo mazuri ila mbinu za utekelezaji zilikuwa duni.
 
Back
Top Bottom