The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Leo VP hajatrend kabisa,Kudos Wadau..
Makamu wa Rais Dk Philipp Mpango ameifananisha Kasi ya kutekelezwa Kwa miradi chini ya Rais Dk.Samia kama Fiston Mayele wa Yanga..
Dk.Mpando alikuwa akizungumza wakati wa kushuhudia kuiwa Saini Kwa Kipande Cha Sgr kutoka Tabora Hadi Isaka.
Aisha akiwa Shinyanga ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi w Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga..
Hongera sana Rais Samia maana sasa Sgr kutoka Dar Hadi Mwanza na Tabora Hadi Kigoma kote Kuna Wakandarasi..👇
Kwani mwanzo vilikuwa haviNa. Na ule uchafu wa mabehewa walete orijino sio ule upuuzi wa refurbChini ya miaka 2 ,vipande vyote vya Sgr vina Wakandarasi,chezea Samia wewe?
Hakuna behewa used hata Moja Kati ya yaliyokujaKwani mwanzo vilikuwa haviNa. Na ule uchafu wa mabehewa walete orijino sio ule upuuzi wa refurb
Wewe ndio unaekula mchicha sana pekeako humu ndani. Mzigo unaonekNa refurb halafu ukakaa kimya sana kwenye ile ishu sababu unayemfagilia kapuyangaHakuna behewa used hata Moja Kati ya yaliyokuja
Sa100 anasema ni mitumba wewe unasema vingine,Hakuna behewa used hata Moja Kati ya yaliyokuja
Mitumba Bado ndio hiyo walivunja mkataba na kampuniSa100 anasema ni mitumba wewe unasema vingine,
Uwe na ADABU basi!!!
Unajua maana ya kauli kuwa,Mitumba Bado ndio hiyo walivunja mkataba na kampuni
Tutaanza na used......naona umeamua kujitoa akili kabisa , uchawa unapendeza kama unarudia alichosema bossHakuna behewa used hata Moja Kati ya yaliyokuja
Rais hakuwahi kukanusha kauli yake.Tutaanza na used......naona umeamua kujitoa akili kabisa , uchawa unapendeza kama unarudia alichosema boss
Uwe unaelewa,mabehewa used yalikuwa yaje ila kampuni husika ilichekewesha mkataba ukavinjwa so yamekuja mapya kabla ya usedTutaanza na used......naona umeamua kujitoa akili kabisa , uchawa unapendeza kama unarudia alichosema boss
Rais Samia Suluhu amejitahisi sana kuloeta maendeleo nchini miradi ya kimkakati inakamilika kwa kasi ya ajabuKudos Wadau..
Makamu wa Rais Dk Philipp Mpango ameifananisha Kasi ya kutekelezwa Kwa miradi chini ya Rais Dk.Samia kama Fiston Mayele wa Yanga..
Dk.Mpando alikuwa akizungumza wakati wa kushuhudia kuiwa Saini Kwa Kipande Cha Sgr kutoka Tabora Hadi Isaka.
Aisha akiwa Shinyanga ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi w Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga..
Hongera sana Rais Samia maana sasa Sgr kutoka Dar Hadi Mwanza na Tabora Hadi Kigoma kote Kuna Wakandarasi..👇
Kwamba wewe una taarifa za ndani kuliko hata mkuu wa Nchi!!Uwe unaelewa,mabehewa used yalikuwa yaje ila kampuni husika ilichekewesha mkataba ukavinjwa so yamekuja mapya kabla ya used
Sijamwona tena Dr Philip Mpango aliyekuwepo kabla ya COVID-19; huyu aliponea chupu chupu, lakini kaathirika pakubwa sana.Nadhani Covid made some damage upstairs
Penye ukweli ni lazima usemwe. Hayo ya Rais Samia kuwa kama.Mayele, siyajui, maana pia sitaki kuwakera wapenzi wa Simba, halafu wakaijibu hoja bila weledi. Lakini kwa kweli kiutekelezaji, Rais Samia anatekeleza miradi mingi kwa weledi na kwa kasi. Anayafanya hayo kwa vitendo. Kitu pekee kinachompunguzia kasi ni mazingira mabaya aliyoyakuta: pesa za bure za MCC hazipo kutokana na mtangulizi wake kutozingatia haki na demomrasia. Pesa za msaada wa bure toka Jumuia ya Madola nazo hakuna kwa sababu ya mtangulizi wake kuvuruga uchaguzi wa 2020. Kama hizo pesa zote zingekuwepo, ongezea kodi zetu na mikopo, mambo yangepaa.Chini ya miaka 2 ,vipande vyote vya Sgr vina Wakandarasi,chezea Samia wewe?