Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

21 September 2022
Rufiji, Tanzania

Building an RCC Dam to control the water flow during the flooding period and generate electricity with an installed capacity of 2115 MW doubling Tanzania’s electricity grid capacity to better people’s lives and meet the country’s ambitious plans to achieve an industrial revolution.
 
DUh hawa hawa waliokuw wanaimba mapambio na kumsifu malaika mkuu mwendazake
 
Huyu dingi(VP) ni heri tu akae kimya.
Kila akiongea anaonyesha uwezo mdogo kuelewa mambo.
Majuzi alisema samaki wa nchini wanahifadhiwa kwa maji ya maiti, ndio maana kansa imeenea hasa kanda ya ziwa.
Hili limeleta mtafaruku sekta ya uvuvi na imeichukua muda serikali kuliweka sawa suala hilo maana wanunuzi nje ya Tanzania walingia wasi wasi mkubwa kuagiza samaki toka Tanzania.

Tukirudi suala la ukandarasi, nsomna bodi husika zimtembelee VP na kumpa madini kuhusu sekta ya ujenze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…