Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Power struggle ndani ya CCM nguvu ipo upande wa mama 2025, watu wanafikiria umakamu wa raisi mpaka 2030.
Hakuna cha power struggle wala nini. CCM wakimweka SSH kama mgombea urais 2025, rais ajaye atakuwa anatoka nje ya CCM. Watanzania sio wajinga! Aende kwenye NGO's huko kwa kina Tony Blair.
 
15 January 2022

"BWAWA LA NYERERE LINAHITAJI MAJI KUTOKA SINGIDA KUZALISHA UMEME TUNALO JUKUMU KUBWA " - CHUOJA

“BWAWA LA NYERERE LINAHITAJI MAJI KUTOKA SINGIDA KUZALISHA UMEME TUNALO JUKUMU KUBWA” Wananchi Pamoja na Viongozi Katika Mamlaka Mbalimbali Mkoani Singida Wametakiwa Kushirikiana Katika Kutunza Mazingira Hasa ya Vyanzo vya Maji ili Kufanikisha Shughuli Zinahitaji Rasilimali za Maji Kama Uzalishaji wa Umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere JNHPP Stiegler's Gorge Rufiji.

Akizungumza katika Jukwaa la Pili la Wadau wa Maji Bodi ya Maji Bonde la Kati Katibu Tawala Msaidizi anayehudumu katika Uchumi na Uzalishaji Mkoani Singida Stanslaus Choaji Amesema vyanzo vingi Vimeharibiwa na Shughuli za Binadamu na kwamba Jukumu kubwa la Singida ni Kuvitunza kwa Sababu Singida ni Mkondo Mkuu wa vyanzo Hivyo.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Singida Alhaj Juma Kilimba amesema Ilani ya Chama Hicho imelenga Kuwapatia Huduma za Maji Wananchi lakini wamekuwa Wakisikitishwa na Baadhi ya Mamlaka Kutotimiza Wajibu Wake katika kuwapelekea Huduma za Maji.
Source : Wasafi Media
 
Mwaka wa Ukame huu, Bwawa la Mindu Morogoro katika tishio la kukauka !

Mkuu wa mkoa Martin Shigela aamuru shughuli zote zinazoathiri bwawa hilo zisitishwe ili watu waendelee kupata maji ya kunywa pia maji kwa ajili ya matumizi ya majumbani na viwandani ya endelea kupatikana
Source : Wasafi Media
 
Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo

1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila sehemu. Serikali labda ilitaka mkandarasi mkuu afanye kazi zote peke yake, lakini sehemu nyingi ameweka wachina

2. Mkandarasi yupo nyuma ya mpango kazi, na kwamba amechelewa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mafuriko na uvico19. Kauli ambayo Kalemani amekuwa akitudanganya kuwa tupo mbele ya muda na maji yataanza kujazwa Mwezi wa 11 tarehe 15, na kuwasha mitambo June 2022( KAULI AMBAYO NI DHAHIRI ALITUDANGANYA NA ILIKUWA YA KISIASA) Laini Makamu wa Rais ameongea ukweli.

Kutokana na Kauli ya Mh. Makamu wa Rais ni DHAHIRI kuwa Mradi huu hautaweza kukamilika 2022 Wala 2023 Wala 2024 labda 2025.
Hii nchi siyo ya mtu ni ya watanzania ambao ndiyo waajiri wa kila mmoja awe kwenye sekta binafsi au ya umma. Jambo kubwa na la msingi ni kupeleka miradi yote bungeni: Stiller gorge, SGR, Bandari ya Bagamoyo na BRT. Mikataba hii yote tunaomba kwa unyenyekevu mkubwa zijadiliwe bungeni kwa uwazi ili ewe wazi kwa kila mlipa kodi Mtanzania.
 
Ile kazi ni kubwa hakuna namna mwarabu anaweza kumuda bila kumkasimisha mchina. Chezea kitu ingine sio mchina. Hawa warabu magufuli alituletea madalali tu
 
Mwaka wa Ukame huu, Bwawa la Mindu Morogoro katika tishio la kukauka !

Mkuu wa mkoa Martin Shigela aamuru shughuli zote zinazoathiri bwawa hilo zisitishwe ili watu waendelee kupata maji ya kunywa pia maji kwa ajili ya matumizi ya majumbani na viwandani ya endelea kupatikana
Source : Wasafi Media

Kuna kosa kubwa sana linafanyika kwenye Bwawa la Mindu wameruhusu watu kuweka makazi ya kudumu na kuendesha shughuli za kilimo juu ya mlima uliyopo kulia mwa barabara ya Morogoro_Iringa unapoelekea Iringa kabla ya kufika Njia Panda ya kwenda chuo kikuu cha Mzumbe. Ukulima ule na makazi yale yanasababisha siltation kubwa sana kwenye Bwawa la Mindu. Tufanye maamuzi makubwa ya kuondoa watu wote tuondokane na tatizo hilo. Waziri wa maji tufahamu vilevile kuwa ni 40% tu ya watu ndiyo wanaopata maji katika mji wa Morogoro. Full stop! Mengine ni porojo ilhali Morogoro kuna mito zaidi ya 200 inayotitirisha maji. Tuache mchezo tuchukuwe hatua!
 
Mkandarasi wa miradi mikubwa kama hiyo anashinda tender kutokana na design yake ya mradi wote kuanzia physical project, ulinzi wa mazingira kama ecosystem, namna ya kuvuta maji and so forth with hydro power project scope.

Anakupa na costs zake za kujenga mradi, work break down structure ya wewe kuweza kufuatilia progress ya mradi kwa makubaliano ya muda wa kazi, etc.

Kazi yenyewe inafanywa na sub-contractors anachosimamia mkandarasi na ku coordinate hatua za kazi, kuangalia quality ya kazi, time, anapanga critical path ya mradi na other supervision roles.

Mtu kama makamu wa raisi awezi kwenda kwenye mradi kama huo bila ya mshauri wa maswala ya project management; hivi mbona tunaviongozi waropokaji halafu wepesi sana vichwani ukiwasikiliza.

Au anadhani huu sawa na miradi wa kujenga barabara. Yaani nchi inaviongozi wa ovyo kweli.
Huyo nae ajiuzulu ametuletea matatizo mengi mno
 
Singida na uhusiano na mto rufiji..

Ahhh labda Jiografia ya elimu ya juu ilionesha uhusiano huo.
15 January 2022

"BWAWA LA NYERERE LINAHITAJI MAJI KUTOKA SINGIDA KUZALISHA UMEME TUNALO JUKUMU KUBWA " - CHUOJA

“BWAWA LA NYERERE LINAHITAJI MAJI KUTOKA SINGIDA KUZALISHA UMEME TUNALO JUKUMU KUBWA” Wananchi Pamoja na Viongozi Katika Mamlaka Mbalimbali Mkoani Singida Wametakiwa Kushirikiana Katika Kutunza Mazingira Hasa ya Vyanzo vya Maji ili Kufanikisha Shughuli Zinahitaji Rasilimali za Maji Kama Uzalishaji wa Umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere JNHPP Stiegler's Gorge Rufiji.

Akizungumza katika Jukwaa la Pili la Wadau wa Maji Bodi ya Maji Bonde la Kati Katibu Tawala Msaidizi anayehudumu katika Uchumi na Uzalishaji Mkoani Singida Stanslaus Choaji Amesema vyanzo vingi Vimeharibiwa na Shughuli za Binadamu na kwamba Jukumu kubwa la Singida ni Kuvitunza kwa Sababu Singida ni Mkondo Mkuu wa vyanzo Hivyo.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Singida Alhaj Juma Kilimba amesema Ilani ya Chama Hicho imelenga Kuwapatia Huduma za Maji Wananchi lakini wamekuwa Wakisikitishwa na Baadhi ya Mamlaka Kutotimiza Wajibu Wake katika kuwapelekea Huduma za Maji.
Source : Wasafi Media
 
Mkandarasi wa miradi mikubwa kama hiyo anashinda tender kutokana na design yake ya mradi wote kuanzia physical project, ulinzi wa mazingira kama ecosystem, namna ya kuvuta maji and so forth with hydro power project scope.

Anakupa na costs zake za kujenga mradi, work break down structure ya wewe kuweza kufuatilia progress ya mradi kwa makubaliano ya muda wa kazi, etc.

Kazi yenyewe inafanywa na sub-contractors anachosimamia mkandarasi na ku coordinate hatua za kazi, kuangalia quality ya kazi, time, anapanga critical path ya mradi na other supervision roles.

Mtu kama makamu wa raisi awezi kwenda kwenye mradi kama huo bila ya mshauri wa maswala ya project management; hivi mbona tunaviongozi waropokaji halafu wepesi sana vichwani ukiwasikiliza.

Au anadhani huu sawa na miradi wa kujenga barabara. Yaani nchi inaviongozi wa ovyo kweli.
Nahisi utakuwa umesoma project management au ni engineering umedadavua kitaaluma sana
 
Hili swala la kuzalisha umeme kwa maji limeshapitwa na wakati ni sawa na kutumia vipisi vya kitambaa ama kanga badala ya PED
 
Sasa ukweli ni upi juu ya huu mradi? Kama kuna matatizo basi tuwaombe wale mafundi wanaowajengea Ethiopia wakimaliza waje huku au vinginevyo tuwaite wale Suma JKT naona awamu hii wametupwa nje na kazi iendelee
 
Hili swala la kuzalisha umeme kwa maji limeshapitwa na wakati ni sawa na kutumia vipisi vya kitambaa ama kanga badala ya PED

Ni kweli nchi hizi za tropiki ni changamoto kubwa kuhakikisha upatikanaji wa maji ya kutosha . Tofauti na nchi za Iceland, Norway , Canada , USA, China n.k za kaskazini mwa dunia zenye hifadhi kubwa ya maji katika hali mbalimbali kama mito ya maji, maji ya theluji, maji ya glaciers vitu hivi vya ziada nchi za tropics za hali ya hewa ya joto hatuna hatuna theluji, glaciers kusaidia kujaza mabwawa wakati wa mgeuko wa hali ya tabia nchi climate change.

https://www.wri.org › insights › no-...
No Water, No Power | World Resources Institute

by J Wang · Cited by 4 — In 2016, drought hit Brazil, affecting hydroelectric power producers such as the Itaipu Dam. This forced the country to turn to more expensive ...

https://climate-adapt.eea.europa.eu › ...
Hydropower expansion and improved management in response to ...

6 Feb 2019 — The biggest hydroelectric power stations in Iceland are fed by glacial rivers. Over the last decades, increased flows and changes in the .....

https://www.powermag.com › hydro...
Hydropower Experiencing Climate Impacts From Drought, Flooding

1 Sept 2021 — Hoover Dam has provided hydroelectric power to parts of the U.S. ... faster glacial melt in an area where glaciers feed hydropower plants.
 
JNHPP Umeme wa Megawatts 2,115 ifikapo Juni 14, 2022

Mpaka Juni 2021 mradi huo umefikia hatua ya ujenzi wa asilimia 54.3 ikiwa ni dalili ya nyota njema kuanza kuonekana ya Umeme wa Megawatts 2,115 ifikapo Juni 14, 2022.

Mradi wa kimkakati wa Bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere katika maporomoko ya mto Rufiji eneo la Stiegler’s Gorge ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Julius Nyerere.

Source : TBConline
 
Nahisi utakuwa umesoma project management au ni engineering umedadavua kitaaluma sana
Some institutions in their business management degrees cover project management module only basic principles.
 
Majaliwa atapinga maana yeye kutwa kusifia huo mradi
 
Back
Top Bottom