mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Umeulizwa una uhakika gani kama kalemani ndo alidanganya ila Mpango anasema ukweli?Kalemani muongo Bwawa haliwezi kuanza kuwekwa maji Mwezi ujao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeulizwa una uhakika gani kama kalemani ndo alidanganya ila Mpango anasema ukweli?Kalemani muongo Bwawa haliwezi kuanza kuwekwa maji Mwezi ujao
Na wengine ndo hawataki kabisa kusikia habari kama hizo! Ajabu, huwa hawataki kusikia hata ripoti za kitalaamu kwa sababu tu zinasema tofauti na kile walichokuwa wameaminishwa!!Ufisadi mkubwa sana umefanyika kwenye mradi huu. Sehemu kubwa ya kazi ya ujenzi inafanywa na Sino Hydro. Ukitembelea mradi huu unakuta hawa waarabu wana supervise kazi tu.
Mradi wa sukuma gang,ulilenga kukusanya fedha kwa ajili ya Urais wa mwana sukuma gangWakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo
1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila sehemu. Serikali labda ilitaka mkandarasi mkuu afanye kazi zote peke yake, lakini sehemu nyingi ameweka wachina
2. Mkandarasi yupo nyuma ya mpango kazi, na kwamba amechelewa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mafuriko na uvico19. Kauli ambayo Kalemani amekuwa akitudanganya kuwa tupo mbele ya muda na maji yataanza kujazwa Mwezi wa 11 tarehe 15, na kuwasha mitambo June 2022( KAULI AMBAYO NI DHAHIRI ALITUDANGANYA NA ILIKUWA YA KISIASA) Laini Makamu wa Rais ameongea ukweli.
Kutokana na Kauli ya Mh. Makamu wa Rais ni DHAHIRI kuwa Mradi huu hautaweza kukamilika 2022 Wala 2023 Wala 2024 labda 2025.
Uko vizuri mkuuKumbe unadhani katumbuliwa kwa nini? Alikuwa anaficha mengi kwa kutumia ndugu zake aliowajaza huko Tanesco na wizarani.
Unaweka sources ukiulizwa link siku zote unakimbilia kuambia watu nimeshawapa title wakatafute wenyewe ugumu wa kuweka link kama wewe unayo tayari sijui unakuwa wapi.Unachekesha sana we jamaa
Yaani pamoja na kuambiwa hiyo ni CAG Report for Development Projects 2019/2020 bado unadai uletewe link?! Hivi nini maana ya kutajiwa Title kama sio kutoa fursa ya kila mtu kutafuta ripoti husika aisome kwa mapana na marefu?
Weka hizo facts hapa chini, with REFERENCES!
Btw, yaani bado kabisa unashindwa kuelewa?! Design na Mkataba VYOTE vilitaka TWO Diversion Tunnels.
Contractor akajenga SINGLE TUNNEL
Matokeo yake,
Yaani pamoja na hayo bado unatafuta sababu za ku-justify kilichofanyika licha ya kuona damage ilishatokea?! Ina maana bado huoni kwamba hiyo Client Blessing ndiyo imeleta yote hayo?!
Na hapa nimesema Contractor HAJUI KAZI au nimesema Contractor ali-opt kwenda kinyume na Mkataba ulivyosema?!
Hivi si ndo wewe ambae uliwahi kujigamba ni msomi wa madudu gani sijui?!Unaweka sources ukiulizwa link siku zote unakimbilia kuambia watu nimeshawapa title wakatafute wenyewe ugumu wa kuweka link kama wewe unayo tayari sijui unakuwa wapi.
Nilishakuwambia tangu mwanzo uweke hizo FACTS WITH REFERENCES na sio kutoa maelezo ya jumla jumla coz' that's not my thing!!Anyway unachotuambia au hizo accusation don’t add up if anything ni wewe na CAG ndio mnatakiwa kuthibitisha hayo madai vinginevyo in practice such a diversity bila ya kibali cha mteja aliwezekani.
Why so kama nilivyokwambia mkataba wa ujenzi una PID ambayo ina sehemu mbili. Ya kwanza ni ‘project concept statement’ na pili ni ‘project charter’ inaelezea nini kitajengwa na kwa kiwango gani, sasa amuwezi kukubaliana utajenga twin tunnels halafu uamue kujenga moja kwa utashi wako.
PID ikishatayarishwa mnaelewena ni kitu gani kila mtu anatarajia kupata nalipa hela hii ni jingewe kitu hiki mnaweka sign ndio kazi inaanza.
So mradi unapoanza planning yote kuanzia kwenye material na quality ya kazi vipo stated kwenye PID (ndipo CAG alipotoa hizo info kitu gani kilitakiwa kujengwa) you can’t deviate ata kwenye quality ya concrete let alone a major infrastructure kama hiyo ya project ambayo inaleta mafuriko, utashitakiwa ukifanya ivyo na mkataba unaweza vunjwa it’s in the client rights.
Sasa wewe na CAG (au niseme extract uliyoweka maana it’s not verified if that was fully said) unataka kutuambia contractor anaweza kwenda nje ya PID kwa utashi wake tu na client anamwangalia.
Besides client anajua every step of the breakdown tasks na ana watu wake wanaangalia ina maana civil engineers wa TANESCO awajui tofauti ya twin na single tunnel, icho kitu hakipo kila unachosikia kimefanyika kwenye huo mradi to date kilikuwa na baraka ya client vinginevyo kama kazi yake mbovu wangeshamtimua.
Miaka yote ya kuwa mchangiaji wa siasa za Tanzania ujajifunza tu watu huko serikalini wanavyoweza hadaa wananchi na viongozi vilaza wakitaka kuvuruga mambo.
Wamtoe huyo mkandarasi bila ya kushitakiwa tuone, kama kweli kazi hajui si makubaliano ya kazi wanayo yaani CAG ajue kilitakiwa kujengwa nini TANESCO wenyewe as clients wasijue inakujia akilini kweli, kila kilichofanyika hapo kina baraka zao.
Ukisoma CAG Report 2019/2020 for Development Projects utaona wazi kwamba Kalemani alikuwa anadanganya watu kwa muda wote huo lakini Dk Mpango yupo sahihi!Umeulizwa una uhakika gani kama kalemani ndo alidanganya ila Mpango anasema ukweli?
Kwahiyo ndio Mpango wa kufifisha ujenzi wa bwawa hilo umeanza? Kisha watasema kasma hamna, kisha Mwezi wa kwanza na genge lake lote la msoga watasema tununue umeme wa dharula, paaap wamerudi, kazi inaendelea!
Eti mkandarasi hana uzoefu, kabla ya hii ziara, kuna ziara ya viongozi wastaafu ilitangulia eeenhe?
Msema kweli mpenzi wa Mungu!Wewe hujui kitu kaa kimya
Ni sawa na kuomba ushahidi water is made up of two hydrogen molecules and oxygen, that is basic knowledge to anyone who has done o’level chemistry. Sasa mtu akiomba maelezo how so kuelezea hiyo proof ni shughuli ya kutoa somo la chemistry.Nilishakuwambia tangu mwanzo uweke hizo FACTS WITH REFERENCES na sio kutoa maelezo ya jumla jumla coz' that's not my thing!!
Tukikutana kule MMU, ndo weka maelezo ya hisia zako lakini kwa hoja ambazo particulars zake zipo documented, huwezi kutoa maelezo ya jumla jumla tu tena huku yakiwa yamejaa hisia badala ya FACTS!
Acha maneno, jibu ulichoulizwa...Ni sawa na kuomba ushahidi water is made up of two hydrogen molecules and oxygen, that is basic knowledge to anyone who has done o’level chemistry. Sasa mtu akiomba maelezo how so kuelezea hiyo proof ni shughuli ya kutoa somo la chemistry.
Similarly nilichoelezea ni basic project management framework, hizo ni hatua za awali stage 1 project initiation. Uhitaji ushahidi if you understand project management phases vinginevyo mjadala utageuka darasa la project management.
Basically uwezi badili kilichopo kwenye PID without a client consent hiyo document ndio ‘consideration’ of contract exchange in values between two parts. Breach and you’re in big trouble.
Kwa hivyo the only logical explanation ya kujenga single tunnel instead of two ni kwamba design was changed before the signing of PID, if not there was a client consent to changes; lakini contractor mwenyewe awezi kuthubutu kujifanyia mambo.
Either utafute kitabu cha project management uelewa natokea wapi.Acha maneno, jibu ulichoulizwa...
Nimekuwekea facts with reference wewe umebaki kupiga blah blah tu hapa!!
Acha kujitoa ufahamu wewe kiumbe..Either utafute kitabu cha project management uelewa natokea wapi.
Pili uone PID ya huo mradi (basically mkataba) otherwise it won’t make sense.
In short, HUNA HOJA...I am just stating the procedures na hilo swala la aliwezekani as far as project management is concerned bila ya client authority ni swala la kushitakiwa.
Wewe umeweka abstracts tu kutoka kwenye report ya CAG it is never consider facts; an audit report is always an opinion of the auditor not facts.
View attachment 2126749
Ndio maana unaambiwa weka link ugumu huko wapi hapo report inayoonekana ni 2018/19 wewe yako ya 2019/20 unaitoa wapi. Ukiulizwa unaleta danadana tu na madai unaleta facts wakati kuweka link ni swala jepesi tu unaepa all day.
Tatizo lako unabishia vitu ambavyo mara nyingi ufahamu wako ni wa juu juu clearly project management is not your thing.Acha kujitoa ufahamu wewe kiumbe..
Sasa hicho kitabu cha Project Management ndicho kimeelezea requirements za mkataba wa ujenzi wa JNHPP?
In short, HUNA HOJA...
... Na upo hapa kutetea ujinga simply ulifanywa na Magu Administration!!
All in all, jibu ulichoulizwa manake sina muda wa kusoma manotisi!!!
Badala ya ku-Google kutafuta ripoti husika, una-Google kutafuta notice zenye maelezo ya jumla..
Hivi energy uliyotumia ku-Google hizo notisi zako si ingekuwa busara zaidi kama ungeitumia kutafuta angalau tangazo la tender ya kumpata Contractor ili ufahamu requirements zilikuwa zipi na zipi?!
Usikute hatabarabara ya kuelekea site kwenyewe huijui lakini hapa unambishia CAG ambae amefika hadi site na kuhoji wahusika!!
Hivi hujishtukii?
What a shame!!
Acha kujitoa ufahamu wewe kiumbe..
Sasa hicho kitabu cha Project Management ndicho kimeelezea requirements za mkataba wa ujenzi wa JNHPP?
In short, HUNA HOJA...
... Na upo hapa kutetea ujinga simply ulifanywa na Magu Administration!!
All in all, jibu ulichoulizwa manake sina muda wa kusoma manotisi!!!
Badala ya ku-Google kutafuta ripoti husika, una-Google kutafuta notice zenye maelezo ya jumla..
Hivi energy uliyotumia ku-Google hizo notisi zako si ingekuwa busara zaidi kama ungeitumia kutafuta angalau tangazo la tender ya kumpata Contractor ili ufahamu requirements zilikuwa zipi na zipi?!
Usikute hatabarabara ya kuelekea site kwenyewe huijui lakini hapa unambishia CAG ambae amefika hadi site na kuhoji wahusika!!
Hivi hujishtukii?
What a shame!!
We jamaa una kichwa kigumu kuelewa ingawaje u-much know mwingiView attachment 2126760
Nilikwambiaje unatabia ya kuokota vi extract na kujenga vioja vyako uchwara.
Elewa kwamba JF kuna watu wana abc ya vitu vingine wakisema aviwezekani ni aviwezekani based on principles ya discipline husika.
Look at you?!Mbona ukuweka hiyo extract TANESCO ndio waliotoa baraka ya kwenda kinyume na original design. Na nina uhakika kulikuwa na serious engineering challenge to change that course.
OH! Kumbe umeumia kwa sababu nimetaja Magu Administration na wewe ulitaka nitaje TANESCO?... Na upo hapa kutetea ujinga simply ulifanywa na Magu Administration!!
All in all, jibu ulichoulizwa manake sina muda wa kusoma manotisi!!!
Angalia ulivyo mweupe!!!Wengine tukisoma tu tunajua uwezo wa mtu na wewe unapwaya unasoma vitu at face value unaweka vi extract vyako unadhani kila mtu humu ndani kichwa panzi.
Na Phillipo hayupo peke yake... majority wali-doubt taarifa ile hata baada ya kuwa imetolewa na Phillp Mpango, na ndipo nikamwamwekea taarifa ya CAG isemayo:-Tanzania tuna tatizo la upotoshwaji wa habari, na hii chanzo chake ni ukanjanja wa wanahabari wengi tulionao.
Habari isiyokuwa na ukweli ndio inaibua mjadala miongoni mwa watu na ile yenye ukweli inapita kama vile haina umuhimu wa kujulikana.
Uwe unasoma na kuelewa badala ya kupoteza muda wa watu!!Nilikueleza from the outset ata CAG unamtungia it dint even take much to prove that can you see why nikakwambia ata abc za project management huna ndio maana uongo wako aujumlishi.
Hizi ni PUMBA TUPU!Tatizo lako unabishia vitu ambavyo mara nyingi ufahamu wako ni wa juu juu clearly project management is not your thing.
Uelewi ata watu wanabanana vipi kwenye mkataba ndio maana ata unapoelezewa unaishia kutoa povu tu.
Julius Nyerere Hydropower Plant and Dam | The Arab Contractors
Hiyo ni aspect tu project charter ☝️ scope of work to be done in a complete PID hayo maelezo yatakuwa in details zaidi. Ndio msingi wa mkataba unaowekewa sign you can’t change that.
Sasa wewe ata ukipewa lines of reasoning uelewi kwa sababu inaonekana ata abc za project management hujui anyway hako ka document kako nimekaona ninauhakika ata story yako itakuwa ya kuunga unga tu ndio maana ukutaka kuileta.
Ugumu wa kuweka link ulikuwa wapi, mimi ndio naanza kuisoma it’s matter of time kabla sijakuonyesha wapi ujaelewa unavyo argue inaonekana hujui mambo
Tanzania tuna tatizo la upotoshwaji wa habari, na hii chanzo chake ni ukanjanja wa wanahabari wengi tulionao.
Habari isiyokuwa na ukweli ndio inaibua mjadala miongoni mwa watu na ile yenye ukweli inapita kama vile haina umuhimu wa kujulikana.
Sasa kwenye hiyo post ya Phillipo au hata uliyeni-quote mimi kuna mahali nilisema Contractor alifanya deviation bila TANESCO Approval?Mkandarasi awezi kufanya deviation kubwa from the initial design bila ya makubaliano na mteja kwanza.
Ni sawa na wewe ulipie kuwekewa roof ya vigae kwenye nyumba yako, halafu ukute bati huo ugomvi auwezi kuwa mdogo.
Lakini ukikaa kimya kwenye mabadiliko kama hayo maana yake ni kwamba uliridhia; mkaguzi kabla ya kulaumu alitakiwa akuulize wewe mwenye mradi kama unajua umewekewa bati badala ya vigae.
Most likely hayo mambo yapo kwenye PID ya project kama kuna changes what agreements needs to be made first.
Naanza kupata mashaka na quality ya auditors wa serikali. Mtu anasema nimekuta hivi lakini asemi alimuuliza nani sababu za deviation sio client wala contractor; ila analaumu tu.
From there umeendelea ku-beat around the bush huku ukiwa hata hueleweki hoaj yako ni nini hasa...We jamaa unapenda sana kujitoa ufahamu!! Bila makubaliano kivipi wakati unaona kabisa ripoti inasema:-
Hata aibu huoni...If you don’t know an audit report is always an opinion ask any auditor you know they will tell you that not certain. Ndio maana kama ni large private firm zilizosajiliwa as plc zikifanya audit mwisho utakutana na clause inayokwambia wao awapo liable ukifuata ushauri wao for external investors. Na makampuni madogo ndio kabisa yamesajiliwa straight up LLC wasishitakiwe kwa kazi yao because it’s an opinion.
Huu sasa unakuwa ubishi wa kitoto, grow up.We jamaa una kichwa kigumu kuelewa ingawaje u-much know mwingi
Sasa hapo kuna tofauti gani na nilichosema mimi?!
Kwanza ingawaje umeacha sehemu ya juu ya hiyo screenshot inayoonesha hilo suala lilifanyika kinyume na mkataba, lakini bado maelezo hayo yanathibitisha kwamba TANESCO wali-approve single tunnel wakati mkataba ulitaka two tunnel na ndo maana wametoa justification kwamba walimruhusu kwa sababu walitaka ujenzi ukamilike haraka!!
Now what's the consequences?
Mvua ilipokuwa kubwa na kuleta mafuriko, pakatokea dhahama kwa sababu kulikuwa na single tunnel, na dhahama hiyo ikasaabisha mradi ku-delay kwa miezi mitano!
Sasa usichoelewa hapo nini?
Look at you?!
Hivi we jamaa unaelewa unapokuwa unasoma?! Kwani kwa akili yako unadhani anayelaumiwa hapa ni Mkandarasi wakati hata kwenye post ya saa chache tu zilizopita niliandika:-
OH! Kumbe umeumia kwa sababu nimetaja Magu Administration na wewe ulitaka nitaje TANESCO?
TOO LOW...
Hivi kwa akili yako unaamini TANESCO inge-approve kitu kinyume na mkataba bila kupata baraka za serikali?
Angalia ulivyo mweupe!!!
Post ambayo wewe ulikurupuka na kuni-quote ni ya Philipo Bukililo ambae alikuwa ana-doubt maelezo ya media, na aliandika:
Na Phillipo hayupo peke yake... majority wali-doubt taarifa ile hata baada ya kuwa imetolewa na Phillp Mpango, na ndipo nikamwamwekea taarifa ya CAG isemayo:-
View attachment 2126907
Pamoja na hiyo, nikamwekea zinazojibu hoja zingine kuhusu Contractor ku-subcontarct sehemu muhimu za kazi yake!
Sasa hiyo uliyoweka wewe ingejibu hoja ya Phillipo?!
We jamaa vipi?
Uwe unasoma na kuelewa badala ya kupoteza muda wa watu!!
Na tatizo sio kuelewa bali ni kwa sababu umeamua kujitoa akili kuetetea kila bovu lililofanyika awamu ya 5
HUNA HOJA..Huu sasa unakuwa ubishi wa kitoto, grow up.
Kila kitu kimeelezwa hapo TANESCO wametaka kuharakisha mradi wao wenyewe.
Hiyo tunnel ni ‘critical path’ of the project in other words kuna tasks zingine aziwezi fanyika bila ya tunnel kujengwa.
A twin system might the delay the project up to three years whereas a single system saves time those where the options TANESCO chose to save time and gave a go ahead with a single tunnel.
Sasa how do you justify your argument Arab Contractor hajui kazi na amejifanyia maamuzi bila ya client.
Njia ya mtu muongo ni fupi siku zote, as for me till next nikiona unataka kumtungia uongo Magufuli utaniona.
Good Morning
Mpaka kufikia sasa, hakika nimegundua kuwa Jiwe alikuwa mwizi na sasa waliopo madarakani ni Wazalendo na Walinzi wa mali na taifa kwa ujumla!Kwani wastaafu si walipelekwa kuangalia jiwe alikuwa nwizi sana tusitafute visingizio